na havertz anafungaje?System ya Arteta haimpi favor VG nafasi ya kufunga, sio kwamba wenzie hawampi pasi.
Mfumo wa Arteta hata akipewa Haaland itakua ngumu kutoboa coz hauhitaji natural striker, unataka false 9 wa kusaidia kwenye build-up, ku play between the lines, good with the ball na most importantly, awe na uwezo wa ku win duels zake.na havertz anafungaje?
Nimekusoma.Mfumo wa Arteta hata akipewa Haaland itakua ngumu kutoboa coz hauhitaji natural striker, unataka false 9 wa kusaidia kwenye build-up, ku play between the lines, good with the ball na most importantly, awe na uwezo wa ku win duels zake.
Ili tumfaidi mchezaji km Victor, inabidi tuwe tunacheza direct passing game, long balls na mchezo wa counter attack.. hapo ndo tuta unlock beast mode yake. Otherwise tutamuona mzululaji tuu.
It explains why Arteta wanted the likes of Alvarez, etc.