DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Bingwa wa chooni labda😂😂😂😂
Apana bana arse8 atakuwa bingwa mkuuKakikosi ka kuungaunga kameanza kukata moto ....point 2 zimebaki
Haoo wengine...🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie timu kubwa mabingwa wa dunia😁😁😁😁Msimu huu thread ya Arsenal haitembei sana, tupo wenyewe humu.
Acha uchawi mkuuSouthampton tuna jambo letu leondyo tunaanza ligi leo unajua Southampton na Nottingham forest ni majirani
![]()
Hatimaye mukafuana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gemu ya leo naiona kama ina kaugumu fulani. Tukimkafua Southampton leo nitafurahi saana.
Labda kama wanayaibaApana bana arse8 atakuwa bingwa mkuu
ATabeba europa, ligi, fa, carabao na msimu ujao atabeba na UEFA.😀😀😀😀
Bingwa wa punieto
Mpuuzi na timu lako bovu linalo achia dk za mwisho.Nyie timu kubwa mabingwa wa dunia😁😁😁😁
Muda sio mrefu Mateka (Arteta) ataanza kutukanwa humu.Arse8 nawapongeza sana kwa kupata draw. Ila bado muda kidogo mutaanza kumulaumu arteta. Kosi lenu finyu sana
)Wakati mnapindua mnakua mko wapi?Mbona hatujafungwa hizi kelele zanini,
Mtu alikula 3 na leeds, mwingine alikula 4 na Brentford. Ujasiri mnautoa wapi kuja kutukana viongozi wenu humu kisa sare,
Yaani mnatukana dereva na nyie n abiria, tutapindua gari mfe kenge nyie![]()