Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gemu ilikuwa ya kumalizwa kipindi cha kwanza tukazembea halafu Gabriel Jesus naye akaacha kufunga ile nafasi ya kipindi cha pili.

Arteta asipoitengeneza timu kuweza kumaliza game mapema basi huu ndio mwanzo wa kuanza kudondosha point.

Odegaard naye ni too soft kwenye finishing, partey amepoteza sana mipira leo na Tomiyasu amekuwa na bad game.
 
St Mary's hua ni pagumu kwetu, tumejitahidi sana, ila refa naye katu didimiza faulo nyingi sana kapeta + penalty ya Jesus

Ila nilicho ona pale mbele tunatumia sana individual skills kutafuta goal japo sio jambo baya ila tunapaswa kua na structure maalumu ya kutengeneza magoal kwa kuweka muunganiko wa front three,

Leo mda mwingi kila mmoja alikua anatumia uwezo wake kutaka kufunga hasa martinel, Jesus na Nketiah

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Arteta atakua amejifunza Tomiyasu abaki mbili, tatu n ya Tierney. n vizur kuwachezesha wachezaj kwenye namba zao za asili, kama unawabadilisha namba kwaajili ya mbinu iwe mechi mojamoja sio tena ndo kila siku

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ila tukijilinganisha na misimu iliyo pita tuko pazuri tunakila sababu za kujipongeza. Kufikiria ubingwa sasa hivi ni kujipa stress safar bado ndefu Sanaa,
Mashabiki wa Arsenal wanao jua mpira wanashangilia maandeleo ya timu maana bado timu inajengwa, Ubingwa n ziada, top four ndo muhimu na uhakika

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
on why we’ve historically struggled against Southampton on the road…

Moja ya swali alilo ulizwa Arteta leo, pale st Mary's ua sio pazuri kwetu, refa naye katuumiza, Jesus naye shabaha imepungua, game ilikua inaisha first a half tu, ila ndo mpira. Huwez kushinda kila mechi cha msingi bado tupo juu kileleni
FB_IMG_16665299516529409.jpg

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Jesus inabidi awe ruthless akiwa kwenye goal na awe focus sana na kufunga zaidi. Yasije yakatokea kama ya laccazate , unapokaa mda mrefu hufungi confidence nayo inapingua kama striker. All in all game kipindi cha kwanza tulitakiwa kuimaliza kwa chance tulizopata. Inabidi odegard naye awe mbunifu zaidi maana magoli yetu mengi tumefunga kupitia pembeni kwa saka na martineli .
 
I knew na hili linatokea kuplay Thursday na Sunday kwa squad tuliyonayo ni tatizo baada ya game vs Liverpool kwa sasa unaona kabisa tunashinda but mpira wetu umepotea tulianza vs Bodo tukasema may be ule uwanja mgumu but kwa trend hii na next game tupo Holland then Nottingham Forest anatusubiri may be may be team inaweza kuamka kwa sasa next game first eleven wengi wapumzishwe for example Saka Martinelli White Xhaka inabidi Arteta akubali kuwapa mapumziko pia world Cup is coming soon na mostly players wetu wataparcipate huko

Jesus anakosa magoli mepesi sana ila anafunga magoli magumu

Ingetokea this season hatuna any european competition tungekuwa mbali sana fikiria bado kuna FA na Carling cups zipo njiani
 
Gemu ilikuwa ya kumalizwa kipindi cha kwanza tukazembea halafu Gabriel Jesus naye akaacha kufunga ile nafasi ya kipindi cha pili.

Arteta asipoitengeneza timu kuweza kumaliza game mapema basi huu ndio mwanzo wa kuanza kudondosha point.

Odegaard naye ni too soft kwenye finishing, partey amepoteza sana mipira leo na Tomiyasu amekuwa na bad game.
Kitaeleweka tu
tapatalk_-1568872495_480x647.jpg
 
Ila tukijilinganisha na misimu iliyo pita tuko pazuri tunakila sababu za kujipongeza. Kufikiria ubingwa sasa hivi ni kujipa stress safar bado ndefu Sanaa,
Mashabiki wa Arsenal wanao jua mpira wanashangilia maandeleo ya timu maana bado timu inajengwa, Ubingwa n ziada, top four ndo muhimu na uhakika

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hebu rudia tena!! Unasema top 4 ni nini?
 
Back
Top Bottom