Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta anaanz kufeli mdogo mdogo ,nliona tangu alivoanz kushinda goli moja kila mechi,nkapropos kuna important player bench pale izi game za Europ wanatoboa wamekaza fuvu😅😅😅
 
Arteta anaanz kufeli mdogo mdogo ,nliona tangu alivoanz kushinda goli moja kila mechi,nkapropos kuna important player bench pale izi game za Europ wanatoboa wamekaza fuvu😅😅😅
Auba kasema Arteta hawezi kumanage Big Characters
Anafaa kuwa kocha wa academy, ni mzuri kwa academy ngoja tutaanzisha movement ili tumsajili kwenye academy yetu ya Chelsea inapwaya sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom