Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni suala la muda tu
255742830142_status_bb44ba8a46da4207bbca85eac85a9152.jpg
 
Ila tukijilinganisha na misimu iliyo pita tuko pazuri tunakila sababu za kujipongeza. Kufikiria ubingwa sasa hivi ni kujipa stress safar bado ndefu Sanaa,
Mashabiki wa Arsenal wanao jua mpira wanashangilia maandeleo ya timu maana bado timu inajengwa, Ubingwa n ziada, top four ndo muhimu na uhakika

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Arsenal mko vzr sana na improvement ni kubwa sana ya kiuchezaj inaonekana napingana na wale mashabik wa Arsenal wanao hata jarb kuwaza ubingwa lbd kama wanaongea ayo kishabik lkn kiuhalisia ubingwa sio hata level yenu bd ya kuwaza kbs.
 
Shabiki za arsenyani bana...

Mara utawasikia oooh MTU unapigwa na unachezewa pira biriani

Vyuma vilipoanza kukaza Mara ooh cha muhimu point tatu

Mambo yamezidi kuwa magumu Mara ooh cha muhimu tuko kileleni....

Mtu unabaki kucheka tu
 
Mkuu acha wajifariji wamepitia sana shida lkn kama kwl kuja shabik wa Arsenal aliwaza au hata anawaza atabeba ubingwa bas aamke kumekucha.
 
Arsenyani Ilo kombe mnaloshobokea labda mkaliibe Ila sio kukabidhiwa.....hapo juu Hamna maisha marefu matakataka nyie
 
mdogomdogo mpaka inaingia March mko mnapambania kuingia kwenye top4.
Hii ni ligi ya wanaume sio ligi ya watoto wa kiume.
Hao wanaume wako unaowasifia wameshinda game gani? Spurs kakojolewa kamoja Leo, man u na Chelsea walipata point Moja Moja jana. Liverpool kapigwa mkwaju wa maana Jana Sasa anaishi kwa matumaini!.. Kwa hiyo kwa ajili zako ulifikiri mechi ya Leo ingekuwa rahisi?.. Tulicheza na Leeds ambao walimbanjua chelmatako bakora 3 kavu, sisi tukapambana tukatoka na goli Moja. Jana Nottingham forest kamuua liver ila Kuna watu humu wanadhani hiyo timu ukienda unajichotea point tu!.. Kimsingi tunamshukuru hatujapoteza game ya leo!.. mechi zinazofuata tutashinda Hata kama ni kwa mbinde!.. Tunamshukuru Mungu timu unazoita za wanaume nazo zinapigwa na kupoteza points tena kirabisi kabisa!.. Kwa hiyo tulia wewe Mzee, usijipe matumaini hewa!
 
Arsenal ikimaliza 3 bora EPL na kubeba Europa league (kupata medali)itakuwa ni Big achievement kwa squad yetu kupambania league itakuwa ngumu ni heri kwenye Europa unampiga mtu home then away unaenda kuzuia na results unapata
 
Kweli kabisa!.. Kwangu Hata tukiingia top four Bado ni achievement!.... Kikosi kimeimprove sana lakini Bado ukiangalia Moira vizuri unaona Kuna mapungifu!... Ndio maana tunapocheza na baadhi ya timu ambazo Kwa macho ya kawaida zinaonekana ndogo Mimi nakuwa na mashaka sana.. Mechi ya Leeds nilijua tutashinda Kwa mbinde na ikawa hivyo, mechi ijayo na psv tutashinda ila mechi na Nottingham forest hiyo itakuwa ngumu sana!. Tuombe Mungu twende world cup tukiwa kileleni au nafasi ya pili... Kimsingi tusiwe na matazamio makubwa sana, ligi Bado ni mbichi.
 
FACT
 
Akili zishaanza kuwarudia, na hata hatujafika mwez wenu wa 12.
Arse88 mkimaliza top4 niitwe mbwa.
 
Kwa jinsi timu inavyoonyesha udhaifu inapoanza kushambuliwa itakuwa heri Arteta awe anaanza na Lokonga, Vieira na Nketiah kwenye mechi na timu za kawaida halafu kipindi cha pili awe anawaingiza Partey, Odegaard na Gabriel Jesus.

Timu hizi mbili Leeds na Southampton walianza game kawaida sana wakisubiria vijana wetu wachoke ndipo waanze hard game. Hawa wazoefu wakiingia kipindi cha pili angalau tutakuwa na stability ya kuhimili mechi muda wenye presha kubwa.
 
Shabiki za arsenyani bana...

Mara utawasikia oooh MTU unapigwa na unachezewa pira biriani

Vyuma vilipoanza kukaza Mara ooh cha muhimu point tatu

Mambo yamezidi kuwa magumu Mara ooh cha muhimu tuko kileleni....

Mtu unabaki kucheka tu
Plastic fan, cry more
 
Kwa Arsenal ya jana tungetanguliwa sisi tusingetoboa.

Hakuna intensity, back passes zisizo na maana, Partey kawa hovyo anapiga pasi kama anatumia padi.

Sasa kilichotokea jana ndicho nilisema baada ya game dhidi ya leeds. Halafu kuna mtu anakuquote kukuandikia utumbo

Kushinda 1-0 siyo ishu, ishu mnashindaje hiyo 1-0? Goli linakataliwa na Bamford anakosa penati huku sisi hatuonyeshi uhai wowote.

Mwanzoni nilifikiri world cup itatutoa mchezoni ila kwa sasa naona inaweza kuturudisha mchezoni. Wanahitajika mawinga na viungo wengine ili kuhakikisha hii display ya sasa imepata dawa.
 
You have ny support
 
Back
Top Bottom