Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

EMIRATES KWASASA UKITEMBELEA UWE UNAPAKI BASI AU UNAFUNGUKA UTAWASHIWA MOTO

🗣Granit Xhaka on #Arsenal:

"We have always been good at home, but maybe now we are much stronger, much more compact, we have much more solutions.'

'Since Mikel came we have much more solutions, Plan B and C maybe as well.'
 
Angalia wachezaji bora duniani, wanacheza mechi 70, kila baada ya siku tatu wanacheza na kuleta mabadiliko na kushinda mchezo."

Mikel Arteta amekataa kumpumzisha Bukayo Saka msimu huu - na anataka fowadi huyo wa Arsenal adai kucheza kila wiki. #AFC
 
They said October is the toughest or test month for the Gunners, hope you are following this👇

Arsenal’s 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 fixture schedule in full:

1/10: Tottenham H✅✅
6/10: FK Bodø/Glimt H✅✅
9/10: Liverpool H✅✅
13/10: FK Bodø/Glimt A ✅✅
16/10: Leeds United A ✅✅
20/10: PSV Eindhoven H ✅✅
23/10: Southampton A
27/10: PSV Eindhoven A
30/10: Nottingham Forest H

#afc 😁😁💪🏽💪🏽

I know the next thing now is wait till January, as if January na their mate😂
 
we jamaa uko makini sana.
Wanatufanyia hujuma waafrika kisa anaperfom vizuri wanafosi awe mzungu wakati huyu ndiye Bukayo ninaye mfahamu.
6ec30810-e9e0-4bfc-b2a6-623f8f02dbd8(2).jpg
 
Charlie Patino ni swala la muda tu, bonge moja la midfield huko mbeleni akiacha kelele za Waingereza, ambaye naona msimu ujao tunaweza kuanza kumuona ligi kuu akipata minutes Arsenal
 
Charlie Patino ni swala la muda tu, bonge moja la midfield huko mbeleni akiacha kelele za Waingereza, ambaye naona msimu ujao tunaweza kuanza kumuona ligi kuu akipata minutes Arsenal
Msimu ujao anaweza kupelekwa kwa mkopo
 
Kiukweli kwa sasa timu yetu ni nzuri sana ila tunahitaji kikosi kiwe kipana chenye wachezaji wenye same quality Kama city hivi.

Hofu yangu bado ni kubwa sana endapo pale mashindano ya FA na Carabao yatapoanza.

Nahisi tutapoteza direction kutokana na injured players kua wengi na fatigue

Maana Carabao,FA,Uropa na league sio poa at a same time kwa timu kama yetu.

Naogopa sana story ya 2016 ya kupoteza ubingwa mbele ya Leicester isije jirudia.

By the way I believe Arteta's strategies and processes.
 
Naangalia nyumbu na Kenge zinavyocheza hapa

Nadiliki kusema arteta ni GENIUS
Kama mnabisha nipigeni mawe

Ukiangalia top six, arsenal naona kikosi chetu ndio kimetumia pesa ndogo sana

Saka/martinel/Rowe/nketia hawa sidhani kama tulitumia pesa nyingi kuwapata

Pia sokoni tulicheza na reasonable price (bei halisi)
Ukiachana na Pepe hakuna mchezaji tuliepigwa
Saliba/white/tomiyasu/odegard/zinchenko.....

Nafumba macho naangalia miaka miwili mbele.
Namuona Arteta akitikisa dunia kwa kandanda safi na salama kwa takribani miaka 10+
Tuzidi kula mtoli, mazee nyama zipo chini
 
Naangalia nyumbu na Kenge vinavyocheza hapa

Nadiliki kusema arteta ni GENIUS
Kama mnabisha nipigeni mawe

Ukiangalia top six, arsenal naona kikosi chetu ndio kimetumia pesa ndogo sana

Saka/martinel/Rowe/nketia hawa sidhani kama tulitumia pesa nyingi kuwapata

Pia soko tulicheza na reasonable price (bei halisi)
Ukiachana na Pepe hakuna mchezaji tuliepigwa
Saliba/white/tomiyasu/odegard/zinchenko.....

Nafumba macho naangalia miaka miwili mbele.
Namuona Arteta akitikisa dunia kwa kandanda safi na salama kwa takribani miaka 10+
Tuzidi kula mtoli, mazee nyama zipo chini
ni kweli ila baada ya miaka 2 au mitatu sera za usajili hapo epl kwa baadhi ya timu zitabadilika sana
 
Hata liverkuku walikimbiza kwa misimu miwili mitatu lakini saiv wako wapi? Subirini nyie mbuzi wakati wenu unakuja.
 
Kiukweli kwa sasa timu yetu ni nzuri sana ila tunahitaji kikosi kiwe kipana chenye wachezaji wenye same quality Kama city hivi.

Hofu yangu bado ni kubwa sana endapo pale mashindano ya FA na Carabao yatapoanza.

Nahisi tutapoteza direction kutokana na injured players kua wengi na fatigue

Maana Carabao,FA,Uropa na league sio poa at a same time kwa timu kama yetu.

Naogopa sana story ya 2016 ya kupoteza ubingwa mbele ya Leicester isije jirudia.

By the way I believe Arteta's strategies and processes.
Arsenal anasumbuliwa nafas hasa moja ya partey nayo sababu Elneny aliumia ,pia nafas ya Saka, nafas nyingine Kuna watu humu humo wanazicheza

Mfano LW Jesus anaweza kutokea pemben ,tukibanwa Sana upande wa saka ,Jesus anacheza pia

Nafas nyingine hasa backline zimejaa ,LB Kuna watatu , Arteta anachagua kutokana na mech husika Kuna Zinny, Tomiyasu, Tierney, RB Kuna Tomiyasu,White ,Cedric, na Saliba , Ndio Saliba anacheza pia RB, beki za Kati Kuna white ,holding, Tomiyasu,Saliba , Magalhaes,

Nafas ya Ode Kuna Vieira , na hapo Smith Rowe Ni injury Kama angekuwepo anapiga LW Kama inverted forward vzr Sana , I miss this guy aisee

Nafasi ya XHAKA Kuna Vieira pia anaicheza ,Arteta amekuwa akisema anaicheza vzr TU, pia Zinny Zinchenko anacheza hapo pia anaweza kucheza no.10 Kama anavyotumika Ukraine

Arteta alisema anahitaji wachezaji 22-25 tu , hao maana yake wanakuwa Kwanza quality pili wanacheza nafas Zaidi ya 1, hapo ndipo unapata upana wa kikosi,

Baada ya madirisha mawili tutakuwa na option Zaidi ya 2 kila nafasi

Anatafutwa DM anayeweza kucheza pia no.8 anatajwa Locatell ,Danilo kutoka kule Brazil , anatafutwa winger au inverted winger anayeweza kucheza LW,RW na ST , utaona kwanini tulimtaka Raphina he play both wings ,

Kwasasa tuombe Twende had January tukiwa pale juu ,then tuongeze winger na DM Basi kwa ajiri ya kusaidia round ya 2.
 
Mikel Arteta kuhusu Pep Guardiola:

“Nilijifunza mengi kuhusu kuwa kileleni kutoka kwa Pep. Viwango vilivyowekwa kwenye klabu si kushinda tu bali kushinda kwa namna fulani kila baada ya siku tatu na kuwa na mahitaji makubwa na muhimu sana”

🗣️| Mikel Arteta: “and at the same time supportive, so it’s a good mixture.

It was incredible to be part of that team [Manchester City] and the evolution and how that team was built. I will always be grateful.” [@MirrorFootball]
 
Back
Top Bottom