Arsenal anasumbuliwa nafas hasa moja ya partey nayo sababu Elneny aliumia ,pia nafas ya Saka, nafas nyingine Kuna watu humu humo wanazicheza
Mfano LW Jesus anaweza kutokea pemben ,tukibanwa Sana upande wa saka ,Jesus anacheza pia
Nafas nyingine hasa backline zimejaa ,LB Kuna watatu , Arteta anachagua kutokana na mech husika Kuna Zinny, Tomiyasu, Tierney, RB Kuna Tomiyasu,White ,Cedric, na Saliba , Ndio Saliba anacheza pia RB, beki za Kati Kuna white ,holding, Tomiyasu,Saliba , Magalhaes,
Nafas ya Ode Kuna Vieira , na hapo Smith Rowe Ni injury Kama angekuwepo anapiga LW Kama inverted forward vzr Sana , I miss this guy aisee
Nafasi ya XHAKA Kuna Vieira pia anaicheza ,Arteta amekuwa akisema anaicheza vzr TU, pia Zinny Zinchenko anacheza hapo pia anaweza kucheza no.10 Kama anavyotumika Ukraine
Arteta alisema anahitaji wachezaji 22-25 tu , hao maana yake wanakuwa Kwanza quality pili wanacheza nafas Zaidi ya 1, hapo ndipo unapata upana wa kikosi,
Baada ya madirisha mawili tutakuwa na option Zaidi ya 2 kila nafasi
Anatafutwa DM anayeweza kucheza pia no.8 anatajwa Locatell ,Danilo kutoka kule Brazil , anatafutwa winger au inverted winger anayeweza kucheza LW,RW na ST , utaona kwanini tulimtaka Raphina he play both wings ,
Kwasasa tuombe Twende had January tukiwa pale juu ,then tuongeze winger na DM Basi kwa ajiri ya kusaidia round ya 2.
tema mate chini weweNafasi ya Saka haina pengo, Maquinhos is as good as Sska
Gemu ya leo naiona kama ina kaugumu fulani. Tukimkafua Southampton leo nitafurahi saana.They said October is the toughest or test month for the Gunners, hope you are following this👇
Arsenal’s 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 fixture schedule in full:
1/10: Tottenham H✅✅
6/10: FK Bodø/Glimt H✅✅
9/10: Liverpool H✅✅
13/10: FK Bodø/Glimt A ✅✅
16/10: Leeds United A ✅✅
20/10: PSV Eindhoven H ✅✅
23/10: Southampton A
27/10: PSV Eindhoven A
30/10: Nottingham Forest H
#afc 😁😁💪🏽💪🏽
I know the next thing now is wait till January, as if January na their mate😂
Maquinhos ni good backupNafasi ya Saka haina pengo, Maquinhos is as good as Sska
Kudadek[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tema mate chini wewe
Ana safari ndefu, ana kipaji ila mpira wake haujafikia levo ya kuziba pengo la saka.Nafasi ya Saka haina pengo, Maquinhos is as good as Sska
Tabu hizi timu za chini/mid table zinakamia sana.Gemu ya leo naiona kama ina kaugumu fulani. Tukimkafua Southampton leo nitafurahi saana.
kuna gape kubwa sna la quality baina yao lbda kama dgo ata improve uko mbeleni..Nafasi ya Saka haina pengo, Maquinhos is as good as Sska
Cry more [emoji23][emoji23][emoji23]Ona sasa arsenal kakikosi hakahaka kila siku
Ona sasa arsenal kakikosi hakahaka kila siku
Kosi hatari hilo, limemwachia liverpool injureOna sasa arsenal kakikosi hakahaka kila siku