Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kawa mzee Furngie alikuwepo kuleta bahasha mwenyewe kiwanjani, huwezi kusema refa anasema extra time 8 minutes halafu unaongeza dakika 11 then hata mchezaji wa Loserfools atapata ule mpira its not a penalty in miles away na sio scoring chance. Kama kawaida bahasha zinafanya kazi lakini tutacheza hadi last game.

Tutachukua point moja kibindoni sio haba.

Hahaaaaa...........umerudi mzee wa Ass-Anal..............

So many excuses but kwa kuwa honesty Ass-anal wanapiga mpira tatizo kubwa hawajui nini la kufanya baada ya kumaliza kuchezea mpira, wanasahau kuwa ukimaliza kuchezea tumbukiza wavuni...............Sijui vinafikiri kabumbu ni toy
 
We mkali kweli, yani umejificha kitambo hivyo unatafakari kisingizio cha kuja nacho ndo umeamua kusukumia zigo kwa Ferg
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwamba timu zote bado zitapoteza points, lakini mentality kama hii ndio inawacost Arsenal, huwezi kukaa ukisubiri timu nyingine zikufanyie favour kwa kuifunga ManU wakati wewe mwenyewe haushindi mechi zako!

Ndio maana kule juu nikaweka kauli ya Mkongwe Viera ambayo mimi naiunga mkono. Hebu iangalie Mkuu. Sina maana kwamba tutachukua ubingwa kwa kutegemea timu nyingine ziifunge au kutoa sare na MANU/Chelsea. Ninachoamaanisha bado kuna michezo mingi kati ya sasa na May, lakini walio na nafasi nzuri ni wale walioshika usukani (MANU) ambao kama watamaliza vizuri ngwe yao iliyobaki basi wanaweza kabisa kuwapokonya ubingwa mliouchukua msimu uliopita.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwamba timu zote bado zitapoteza points, lakini mentality kama hii ndio inawacost Arsenal, huwezi kukaa ukisubiri timu nyingine zikufanyie favour kwa kuifunga ManU wakati wewe mwenyewe haushindi mechi zako!

Chelsick mmecheza mechi kama Arsenal mko wapi wacha ngebe wewe mmekimbia kijiwe chenu then unakuja kukenua hapa nenda kamtafutie Tor the res kikombe cha Babu. Nyie si mlikung'utwa na Loserfools? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nashangaa wapi tunapowategemea nyinyi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukitaka kupata mshtuko wa moyo kuwa mpenzi wa Arsenal!

Timu inakuwa na 4-0 half time wanatoka sare 4-4... na kama kulikuwa na dakika 5 za ziada ingepoteza mechi ile.

Leo, 1-0 ikiwa imebakia dakika moja.....the match was over, why Eboue even went after the ball? Let alone pushing the player who was moving away from the goal?

Kama ni bahati, uwezo, ari basi Man United ndio wana hivi vigezo vyote kwa sasa.

Ninapenda Arsenal wanavyotandaza kabumbu lakini hawako serious!
 
Tangu mwanzo sisi 'tulikanyaga mdudu mbaya' hivo si ajabu kuwa hapo. Sasa nyie mkuu mmeshindwa kutufunga leo na hii defence yetu ya kuungaunga!!! Kweli magobole yenu yamejaa maji!! Afadhali mtumie hata manati!!!

Nyie mshazoea kuknyaga mdudu bana.........Yenu ni 7th basi............

Waone kule........Ndio maana hamjawahi kuchukua EPL tangu ianzishwe......lol
 
Wakuu tupo pamoja kwa kila jambo...ndio mpira ndugu zangu
 
Hahaaaaa...........umerudi mzee wa Ass-Anal..............

So many excuses but kwa kuwa honesty Ass-anal wanapiga mpira tatizo kubwa hawajui nini la kufanya baada ya kumaliza kuchezea mpira, wanasahau kuwa ukimaliza kuchezea tumbukiza wavuni...............Sijui vinafikiri kabumbu ni toy

Kama hawajui wangekuwa kwenye nafasi waliyopo? Je, wamepoteza mchezo nay, Wacha ngebe wewe. Ungesema hivyo kama tumefungwa ningekusikiliza there is still a lota to play for. Kama wewe hufahamu maana ya EPL kaa pembeni. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ukitaka kupata mshtuko wa moyo kuwa mpenzi wa Arsenal!

Timu inakuwa na 4-0 half time wanatoka sare 4-4... na kama kulikuwa na dakika 5 za ziada ingepoteza mechi ile.

Leo, 1-0 ikiwa imebakia dakika moja.....the match was over, why Eboue even went after the ball? Let alone pushing the player who was moving away from the goal?

Kama ni bahati, uwezo, ari basi Man United ndio wana hivi vigezo vyote kwa sasa.

Ninapenda Arsenal wanavyotandaza kabumbu lakini hawako serious!

...duh, hiyo 4 by 4 scores ya mwezi gani mkuu?
 
Hiyo ari mnaionyesha wapi wakati jana mlifungwa na Mancs Wacha kelele mkuu you are in another competition. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We mkali kweli, yani umejificha kitambo hivyo unatafakari kisingizio cha kuja nacho ndo umeamua kusukumia zigo kwa Ferg

Mkuu huwa sijifichi mie wala kukimbia kijiwe, we played na refa katuua, huwezi kuwaambia wachezaji dakika 8 za nyongeza then unacheza more than 11 minutes ni swala lile lile hadi manure warudishe tumekwishawazoea nyie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kweli msimu huu hatari kweli kweli marefa wanachangia kwa kiasi kikubwa sana kudecide who to win the league
 
...duh, hiyo 4 by 4 scores ya mwezi gani mkuu?

Hajakosea mkuu........Anaizungumzia game ya marudiano na Newcastle United ambayo tulikuwa tunaongoz kwa magoli manne kisha NC Utd wakarudisha magoli yote manne ikawa 4-4.........Kama sio uzembe ni nini hii...........Timu haina malengo wala ari ya uhsindi,wachezaji wameshakata tamaa,Inasikitisha sana yaani
 
Mkuu huwa sijifichi mie wala kukimbia kijiwe, we played na refa katuua, huwezi kuwaambia wachezaji dakika 8 za nyongeza then unacheza more than 11 minutes ni swala lile lile hadi manure warudishe tumekwishawazoea nyie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi wewe unajua sheria za added minutes au basi tu unaongea kiushabiki?
 
Weka hapa hizo sheria. Bodi ilionyeshwa kwa kila moja pale kiwanjani 8 minutes extra, sasa wewe tuwekee sheria hapa tukate mzizi wa fitna.
 
Hajakosea mkuu........Anaizungumzia game ya marudiano na Newcastle United ambayo tulikuwa tunaongoz kwa magoli manne kisha NC Utd wakarudisha magoli yote manne ikawa 4-4.........Kama sio uzembe ni nini hii...........Timu haina malengo wala ari ya uhsindi,wachezaji wameshakata tamaa,Inasikitisha sana yaani

mkuu mi nilishawahi kusema .. haya timu inakosa leadership uwanjani.. febragas hes a good player but he wont & will never make a good captain .. na timu ikikosa leadership kule nyuma ni mvurugano mtupu. ile match ilinisikitisha saaana yaani! goli 4 zilirudi hivi hivi...
 
Kama hawajui wangekuwa kwenye nafasi waliyopo? Je, wamepoteza mchezo nay, Wacha ngebe wewe. Ungesema hivyo kama tumefungwa ningekusikiliza there is still a lota to play for. Kama wewe hufahamu maana ya EPL kaa pembeni. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Utapiga kelele nyingi sana kwamba hamjafungwa, but for any true Arsenal supporter, this is the classical case of two points lost rather than one point gained.
 
Back
Top Bottom