Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Utapiga kelele nyingi sana kwamba hamjafungwa, but for any true Arsenal supporter, this is the classical case of two points lost rather than one point gained.

Chelsick mko wapi huyo classical ni wewe? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huwezi kucheza EPL bila kupoteza points ..... ...... mbona jana mlikimbia kijiwe chenu? Ilikuwa kama hamchezi sisi tumecheza na tuna point moja kibindoni, then tumecheza same number of games where are you? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Haya basi tumefungwa nikufurahishe wewe na wanazi wenzako wa Chelsick khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
mkuu mi nilishawahi kusema .. haya timu inakosa leadership uwanjani.. febragas hes a good player but he wont & will never make a good captain .. na timu ikikosa leadership kule nyuma ni mvurugano mtupu. ile match ilinisikitisha saaana yaani! goli 4 zilirudi hivi hivi...

tatizo la hii team ni hapo tu...
 
Weka hapa hizo sheria. Bodi ilionyeshwa kwa kila moja pale kiwanjani 8 minutes extra, sasa wewe tuwekee sheria hapa tukate mzizi wa fitna.
Mkuu niko kwenye mobile ergo siwezi nikacopy and past the whole thing lakini kukupa pointer google hii "The
signalled stoppage time may be further extended by the
referee." falls under rule 7.2-45 kutoka kwenye kitabu cha Laws of The Game.

To be fair muda gani ulitumika tangu fabregas aangushwe, penalty kupigwa na celebration ya rvp?
 
Nini kimewatokea The Gunners leo? mana akili yangu yote ilikuwa F1..ha ha
Wacha1 vipi analysis yako?!!..je ni bahasha imetembea au timu pinzani walikuwa 12?..eniwei, mi kipigo cha jana hakijanitoka!
 
Mkuu niko kwenye mobile ergo siwezi nikacopy and past the whole thing lakini kukupa pointer google hii "The signalled stoppage time may be further extended by the referee."

To be fair muda gani ulitumika tangu fabregas aangushwe, penalty kupigwa na celebration ya rvp?

Mkuu weka sheria hapa tukate longo longo mimi nikiweka utasema nimetunga kama huwezi kuweka usiongee rejea swala lako. Tafuta hizo sheria tuwekee hapa. Hadithi za Bulicheka hatuzihitaji at this time.

BTW dakika zikishaonyeshwa kwenye bodi huwa haziongezwi. Arsenal walishehereka kwa dakika 3 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nini kimewatokea The Gunners leo? mana akili yangu yote ilikuwa F1..ha ha
Wacha1 vipi analysis yako?!!..je ni bahasha imetembea au timu pinzani walikuwa 12?..eniwei, mi kipigo cha jana hakijanitoka!

Khe khe kheeeeeeeeeeeee alikuwepo Rant boy na bahasha kaleta mwenyewe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu wenzangu vipi tena mbona kuna malumbano?

Nimejitahidi hapa Beghazi nami niweze kuangalia kabumbu lakini bado nasikia kwa mbali cluster bombs za majeshi ya Gaddafi.

Mimi nimekuwa mpenzi wa Arsenal kwa muda mrefu sana na nina imani ipo siku Arsenal FC watachukua kikombe cha Premier League lakini kwa wakti huu inawezekana leo wamewapa Man United kombe tayari.

Tuna mechi zita zimebakia tena zote ngumu tukianzia na Jumatano na Tottenham, na ukiangalia kuna 18 points hapo. Pia tupo nyuma kwa 6 points na Man United jumanne wanacheza na Newcastle United, kwahio hali ni ngumu.

Lakini wa kulaumiwa na mzee Wenger mwenyewe na inawezekana huu ukawa ndio mwanzo wa kununua wachezaji kwasababu mzee Kroenke amekwishanunua timu.

Wachezaji wa Arsenal wana kitu kinaitwa kwa kiingereza" immaturity" yaani kutokuiva kisawasawa na kuwa tayari "ku-grind out results" -yaani kujitoa na kuhakikisha unapata matokeo katika mazingira magumu.

Jana Manchester City walionesha dhahiri nia ya kutaka kushinda mchezo wao na Man United na walikuwa makini kwenye idara zote kiungo, ulinzi na ushambulizi. Man United nao wana nature hio na tulishuhudia mechi yao na West Ham United tena ugenini pale Upton Park London.

Hata jana Real Madrid walipocheza na Barcelona, walipopunguzwa na kuwa na wachezaji kumi uwanjani walizidisha ungangari na mwisho wake walipata penalti na Ronaldo akafunga na kuna watki walikosakosa kufunga goli kama sio Mesut Ozil kukosea lengo Madrid wangeshinda 2-1.

Kushinda mechi yoyote ile kunatokana na mambo hayo niliyojaribu kuyaeleza yaani "maturity" na ungangari. Timu yetu ya Arsenal bado haina vitu hivyo kwa sasa kwa sababu Emanuel Ebue ni mmoja wa mabeki wazoefu na angeweza kumsindikiza Dirk Kuyt nje ya eneo la hatari na mpira ama ungetoka nje au ingekuwa kona lakini akaamua kumkwaa mwezie na Kuyt akiwa mchezaji mzoefu alifahamu kwamba Ebue alikuwa nyuma yake.

Arsenal inahitaji wachezaji wengi wapya kuanzia idara ya goal-keeping, ulinzi, kiungo na umaliziaji. Hata Fabregas kwa sasa hachezi kwa moyo kwahio hafai. Kuna mazungumzo kwamba mzee wenger atafanya "clear out" kubwa wakti wa kiangazi. Hapo tutaona wachezaji wengi wakiuzwa kama Arshavin, Bendtner, Ebue na wengine kama Gael Clichy.

Arsena ya sasa ikiwa mabingwa basi tutakuwa ni moja ya mastaajabu ya Ligi ya Uingereza.

Hata hivyo bado mimi ni mwanachama mwaminifu tupo na tunawakaribisha wale wote wapendao kujiunga na Arsenal Supporters Trust.

Tembelea tovuti yetu na upate mengi.

Welcome to the Arsenal Supporters' Trust
 
Nini kimewatokea The Gunners leo? mana akili yangu yote ilikuwa F1..ha ha
Wacha1 vipi analysis yako?!!..je ni bahasha imetembea au timu pinzani walikuwa 12?..eniwei, mi kipigo cha jana hakijanitoka!

...Msema ukweli ndiye mpenzi wa mungu, pole BJ.
Sie twatetea 2nd best, unless kibao kiwageukie kama jana.
 
Mkuu weka sheria hapa tukate longo longo mimi nikiweka utasema nimetunga kama huwezi kuweka usiongee rejea swala lako. Tafuta hizo sheria tuwekee hapa. Hadithi za Bulicheka hatuzihitaji at this time.

BTW dakika zikishaonyeshwa kwenye bodi huwa haziongezwi. Arsenal walishehereka kwa dakika 3 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
soma tena nimekuwekea ni sheria number ngapi...! Wakati huo huo nimeuliza katika hizo dakika 8 zilizoongezwa arsenal mlitumia dakika ngapi kuanzia pale Fabregas alipoangushwa, penalty kupigwa, kushangilia, kadi na mpaka mpira kuanza tena?
 
...Msema ukweli ndiye mpenzi wa mungu, pole BJ.
Sie twatetea 2nd best, unless kibao kiwageukie kama jana.

Nimekwepa sports news sites, sky sports news, na nitafanya hivyo hopefully mpaka jumanne usiku.
 
soma tena nimekuwekea ni sheria number ngapi...! Wakati huo huo nimeuliza katika hizo dakika 8 zilizoongezwa arsenal mlitumia dakika ngapi kuanzia pale Fabregas alipoangushwa, penalty kupigwa, kushangilia, kadi na mpaka mpira kuanza tena?

Mkuu weka sheria hizi longo longo hazisaidii ndio sababu siku zote huwa tunasema mpira hauishi hadi Manure wasawazishe. Wewe tuwekee muda ambao ni muafaka ili uwe sawa na maamuzi ya refa lakini unashindwa kuweka sheria hapa in black and white kwa sababu za kiufundi makubwa haya khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Breathing down your neck.

Hamna lolote nyie kaugulieni kwenye cowshed khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu weka sheria hizi longo longo hazisaidii ndio sababu siku zote huwa tunasema mpira hauishi hadi Manure wasawazishe. Wewe tuwekee muda ambao ni muafaka ili uwe sawa na maamuzi ya refa lakini unashindwa kuweka sheria hapa in black and white kwa sababu za kiufundi makubwa haya khe khe
kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hamna lolote nyie kaugulieni kwenye cowshed khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu niko kwenye mobile ergo siwezi nikacopy and past the whole thing lakini kukupa pointer google hii "The
signalled stoppage time may be further extended by the
referee." falls under rule 7.2-45 kutoka kwenye kitabu cha Laws of The Game.

To be fair muda gani ulitumika tangu fabregas aangushwe, penalty kupigwa na celebration ya rvp?
 
...Msema ukweli ndiye mpenzi wa mungu, pole BJ.
Sie twatetea 2nd best, unless kibao kiwageukie kama jana.

Acha tu kiliuma, Lewis Hamilton ndiyo kakamilisha weekend yangu kwa furaha!!
Na nyie naona mpo mpo tu, ha ha...hiyo timu yenu kazi ipo!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
3
Mkuu niko kwenye mobile ergo siwezi nikacopy and past the whole thing lakini kukupa pointer google hii "The
signalled stoppage time may be further extended by the
referee." falls under rule 7.2-45 kutoka kwenye kitabu cha Laws of The Game.

To be fair muda gani ulitumika tangu fabregas aangushwe, penalty kupigwa na celebration ya rvp?

Ukipata muda weka ndio majadiliano yatanoga.
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeee alikuwepo Rant boy na bahasha kaleta mwenyewe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mmh wewe mkali aisee..yani ulishafanya conclusion kumbe, ha ha..sikuwezi kamanda!!..kubali yaishe bwana arsenal nayo ni pasua kichwa,lol!!
 
Mkuu weka sheria hapa tukate longo longo mimi nikiweka utasema nimetunga kama huwezi kuweka usiongee rejea swala lako. Tafuta hizo sheria tuwekee hapa. Hadithi za Bulicheka hatuzihitaji at this time.

BTW dakika zikishaonyeshwa kwenye bodi huwa haziongezwi. Arsenal walishehereka kwa dakika 3 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Acha uongo, soma sheria kwanza kabla haujadanganya umma.

LAW 7 – THE DURATION OF THE MATCH

Allowance for time lost

Many stoppages in play are entirely natural (e.g. throw-ins, goal kicks). An
allowance is to be made only when these delays are excessive.
The fourth offi cial indicates the minimum additional time decided by the
referee at the end of the fi nal minute of each period of play.
The announcement of the additional time does not indicate the exact amount
of time left in the match. The time may be increased if the referee considers it
appropriate but never reduced.

The referee must not compensate for a timekeeping error during the fi rst half
by increasing or reducing the length of the second half.
 
Mmh wewe mkali aisee..yani ulishafanya conclusion kumbe, ha ha..sikuwezi kamanda!!..kubali yaishe bwana arsenal nayo ni pasua kichwa,lol!!

Ningekuwa na manati ningemfurumushia jiwe la usoni aisee ana bahati sana!
 
Acha tu kiliuma, Lewis Hamilton ndiyo kakamilisha weekend yangu kwa furaha!!
Na nyie naona mpo mpo tu, ha ha...hiyo timu yenu kazi ipo!!

...ohh yes! Lewis Hamilton rocks! Uliona ile overtake turn 52/56? Magnificent!
Team yangu ipo kwenye transition period. Nxt yr mambo mswano.
 
Back
Top Bottom