Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha uongo, soma sheria kwanza kabla haujadanganya umma.

LAW 7 – THE DURATION OF THE MATCH

Allowance for time lost

Many stoppages in play are entirely natural (e.g. throw-ins, goal kicks). An
allowance is to be made only when these delays are excessive.
The fourth offi cial indicates the minimum additional time decided by the
referee at the end of the fi nal minute of each period of play.
The announcement of the additional time does not indicate the exact amount
of time left in the match. The time may be increased if the referee considers it
appropriate but never reduced.

The referee must not compensate for a timekeeping error during the fi rst half
by increasing or reducing the length of the second half.

Haya Twambie chacha hizo excesive delays wakati wamekwisha sema 8 minutes zilitoka wapi? Wachezaji wa Arsenal walikwenda kuwakumbatia mashabiki kwa dakika 4 baada ya goli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama nilivyosema lazima manure warudishe ndio mpira uishe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

soma tena nimekuwekea ni sheria number ngapi...! Wakati huo huo nimeuliza katika hizo dakika 8 zilizoongezwa arsenal mlitumia dakika ngapi kuanzia pale Fabregas alipoangushwa, penalty kupigwa, kushangilia, kadi na mpaka mpira kuanza tena?

At least four minutes.

Acha uongo, soma sheria kwanza kabla haujadanganya umma.

LAW 7 – THE DURATION OF THE MATCH

Allowance for time lost

Many stoppages in play are entirely natural (e.g. throw-ins, goal kicks). An
allowance is to be made only when these delays are excessive.
The fourth offi cial indicates the minimum additional time decided by the
referee at the end of the fi nal minute of each period of play.
The announcement of the additional time does not indicate the exact amount
of time left in the match. The time may be increased if the referee considers it
appropriate but never reduced.
The referee must not compensate for a timekeeping error during the fi rst half
by increasing or reducing the length of the second half.

...mnhh, jamani ee! Hizo sheria na kanuni kamsomeeni sir alex fergie bana.
Halafu?...Torres lini atapata japo goli la kufutia kamasi? Anakaribia 900mins bila goli. The guy was hyped and over valued bana. Au? Kuwa mkweli Peasant.

Haya Twambie chacha hizo excesive delays wakati wamekwisha sema 8 minutes zilitoka wapi? Wachezaji wa Arsenal walikwenda kuwakumbatia mashabiki kwa dakika 4 baada ya goli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama nilivyosema lazima manure warudishe ndio mpira uishe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yeah, four minutes zilifika....baada ya foul kwa Fabregas, muda ulitumika kurecord yellow card (1.30min), van Pussy spent about 1.30min lining up a penalty, celebration 1.30min.....total 4.30min

...mnhh, jamani ee! Hizo sheria na kanuni kamsomeeni sir alex fergie bana.
Halafu?...Torres lini atapata japo goli la kufutia kamasi? Anakaribia 900mins bila goli. The guy was hyped and over valued bana. Au? Kuwa mkweli Peasant.

my broda, don't try to deviate from the current topic!....hahahaha! BTW kafunga goli safi jana kibendera kachomoa goli, nuksi tupu.

• Thanks
Reactions: Mbu
Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .

Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.

Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .

Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.

Pole ya nini wakati wenzio wanashangilia draw?!!

Apa patamu...napenda hoja inavo jibiwa na hoja, asante kwa Mbu, Peasant, Wacha1 na Eqlpz mnavojibizana..kwa akina sie ambao hatukuona mechi basi yetu macho na masikio., ni mda muafaka kwetu kujua kilichojiri... Unless otherwiz kuna zigo langu laitwa Xuls na jengine Kariki nauza, fiken Dau waungwana....

• Thanks
Reactions: Mbu

Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .

Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.

Unaanza kujitetea ehh?, hahaha! mwenyewe leo was safarin, from huko kwako to jijin hapa...network was all the way...
Polen kwa droo.

Wakuu salama? Vp matumaini bado yapo?Kwa upande wangu matumaini yamepotea kwani hata Man u akipoteza game mbili (yetu na chelsic) bado atakuwa na magoli mengi ya kufunga.Tujiandae vyema na msimu ujao.

At least four minutes.
Mkuu Ahsante kwa kumaliza mjadala... Ila I must say drama ya dakika za mwisho ilikuwa tamu kuliko kipindi chore regular time.

Haya watani tukutane tena jumanne kwenye jukwaa letu na hapa jumatano.

Tatizo la Arsenal liko wapi, timu inaundwa na vijana, tena mahndsm.
Kocha professor na washabiki wake wengi vijana wa kiume kwa wa kike. Jamani poleni sana
Nafahamu uchungu wa kikosa kikombe kwa muda mrefu.
Kweli ligi ina wasindikizaji wazuri sana..............mi BARCA kama kawa ..................
Poleni tena wana Arsenal

Nyie mshazoea kuknyaga mdudu bana.........Yenu ni 7th basi............

Waone kule........Ndio maana hamjawahi kuchukua EPL tangu ianzishwe......lol
Du kaazi kweli, kwa hiyo leo mmechukua EPL? Poa, jitahidini basi mchukue na UCL..... Hee! kumbe na kwenyewe mlishakimbia...

Wacha ngebe wewe three years ago mlisema last year ulikuwa mwaka wenu mmeishia wapi kwenye europa cup unapiga kelele kama vile tumefungwa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Vipi ulikuwa unanitafuta mfukoni mwako khe khe kheeeeeeeeeee[/QUOTE]
Magobole yameingia maji! Tafuteni manati mjaribu.

Mkuu Ahsante kwa kumaliza mjadala... Ila I must say drama ya dakika za mwisho ilikuwa tamu kuliko kipindi chore regular time.

Haya watani tukutane tena jumanne kwenye jukwaa letu na hapa jumatano.

Poa.
Ngoja niangalie MOTD 2 nione Lee Dixon anasema nini kuhusu Arsenal.

Yaani mkuu we acha tu, huwa tunaanza vizuri halafu tunamaliza vibaya sana.
Lakini refarii katufanyia kitu mbaya sana,Dk 8 za nyongeza,Penalty ya Arsenal 97:36. Free kick ya Liverpool Dk 99,Penalty ya Liverpool 101.Hii sio haki hata kidogo.

Back
Top Bottom