Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Wewe ni muintelligencia wa kweli; ulijuaje? Arsena nafasi yake ni ya 4 siku zote akigombaniana na TOT & CITY
Hahaha na wasipoangalia kwa mpira huu watacheza EUROPA MWAKA HUU....
Wewe ni muintelligencia wa kweli; ulijuaje? Arsena nafasi yake ni ya 4 siku zote akigombaniana na TOT & CITY
Mhhhhhhhhh,kwa kigezo kipi tena jirani?
Mimi I can see Chelsea finishing fourth
Kumbe wewe ulijua ni nini?! Tena huyo mnoko Wacha1 namtafuta sana! Nimempa kazi kule Liver lkn amekacha.....!!!Yamekushuka................lol
Mlijua ni droo eeeeeeeeeeeeeh.........Namsubiri kamanda Wacha1
Hahaha na wasipoangalia kwa mpira huu watacheza EUROPA MWAKA HUU....
Now i prove that ubingwa tunautangazia Emirate, tunaomba sana ushirikiano wenu wa kutusaidia kuupamba uwanja kwa ajili ya sherehe za kukabidhiwa kombe japo tunajua tutawaachia majonzi mazito
Now i prove that ubingwa tunautangazia Emirate, tunaomba sana ushirikiano wenu wa kutusaidia kuupamba uwanja kwa ajili ya sherehe za kukabidhiwa kombe japo tunajua tutawaachia majonzi mazito
WACHA1 upo??njoo na lete mapichazzzzz haha najuwa ulitegemea ushindi hapo....
Yamekushuka................lol
Mlijua ni droo eeeeeeeeeeeeeh.........Namsubiri kamanda Wacha1
Kumbe wewe ulijua ni nini?! Tena huyo mnoko Wacha1 namtafuta sana! Nimempa kazi kule Liver lkn amekacha.....!!!
UEFA yenyewe siku zote wanategemea special seat
Wacha1 kakimbia hapatikaniki tena nadhani atakuwa kaenda MMU kujipooza
Hayumo kabisa kijiweni.....
There are currently 26 users browsing this thread. (15 members and 11 guests)
This will be a hammer blow to Arsenal players, will they respond against Spuds on Wednesday?! My money is on the Yids to win it.
This will be a hammer blow to Arsenal players, will they respond against Spuds on Wednesday?! My money is on the Yids to win it.
Mhhhhhhhhh,kwa kigezo kipi tena jirani?
Mimi I can see Chelsea finishing fourth
Well done ya nini sasa?,ndo maana nakwambia ulikuwa unaombea tutoke sare ama tufunngwe wewe..............Pointi 3 safiiiiiiiiiiiiii