usingizi umekuja asubui bna daaaaaaahNyie viazi mnalalaje mpka saa hiz? mna raha gani?
Ndio ndio
Unavyo mpa lawama Aaron Arsenal utadhani yeye ndio Arteta ama Edu.Masaa 12 yamepita yule mzee wa Mahaba bila facts Aaron Arsenal hajacomment chochote hadi sasa tukisema mtu aongee kwa facts bila kuweka mahaba tunaonekana haters goli 2 za jana za Rashford zimetokea wapi?jibu analo
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tunakubaliana kua kufungwa kwa Arsenal kunasababishwa na #AaronSubiri wakati wa usajili atakuja na tetesi zake uchwara, Aaron miaka 5 nipo Jf yeye nyakati kama hizi kuwa haonekani kuja kufanya uchambuzi kuna mwaka hadi watu walimuanzishia uzi wa kumtafuta maana alitoa imani na kutamba sana humu baadae mambo yakageuka vibaya nakumbuka ila final Europa mliyofungwa na Chelsea na kwa vile ilikua mwisho wa msimu jamaa alipotea sana akaacha jukwaa linashambuliwa mpk kulivyopoa na kufika muda wa tetesi ndio akaja kuendeleza uchambuzi wake.
Alisikika kibwengo mmoja akiongea kwa uchunguThe Arsenal lost this match at least to make rival fans happy.![]()
Unateseka ukiwa wapi mkuu?Tena tunakuja kuchukia haraka maana hawana nidhamu Hawa wahaini.mechi 5 wanajitangaza mabingwa
Ndio umeongea nn hapa?mbona hueleweki....Midfield weka Lokonga,Smith Rowe na Mohammed El neny hapo utashinda
Yaani Leo Man Utd wamewashinda kwa Midfield yao ya Eriksen Na McTominay?!! Odegaard na Xhaka ni squad players bench warmers usitegemee kushindana katika big match kwa midfield umeweka Mctominay na Odegaard
.Unateseka ukiwa wapi mkuu?
Weka msimamo wa ligi muda huu then ndio uanze kutoa hii uharo wako hapa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
How is it going down there?Alisikika kibwengo mmoja akiongea kwa uchungu
Timu gani ambayo haifungwi?usiwe zuzu kupitiliza,hayo ndio matokeo ya football,Isikufanye uamini kuwa una kikosi kibaya ila ikukumbushe kuwa, una timu ya kawaida sana.
Kuna ambaye hajafungwa?wewe mwenyewe hujanyukwa ?chuki itakuuaHaya mmenyukwa punguzeni mdomo... Mnaongea sana kama Chuchunge.
Weka msimamoSafari ya kurudi kwenye namba yenu imeanza rasmi![]()
Man city,spursKuna ambaye hajafungwa?wewe mwenyewe hujanyukwa ?chuki itakuua
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app