Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,719
- 25,854
Lengo la Arsenal lipo palepale kucheza champions league msimu ujao.TANGAZO
Tarehe 04/09/2022 ndiyo mwisho kwa klabu ya Arsenal kuongoza msimamo wa ligi kuu Uingereza, hivyo mnakumbushwa wote kupiga selfie, kuscreen shot msimamo wa ligi kama kumbukumbu ya kudumu kua mliongoza ligi kwa mechi za 5 (tano) za kwanza za msimu 2022/2023.
Sasa jipangeni kupigani nafasi ya kubakia top 4.
Upatapo tangazo hili, mtaarifu na shabiki mwenzako wa Arsenal.
Imetolewa na Mbabani 02/09/2022 saa 18:19.
Asante.
Hivyo, nafasi ya 1-4 ni priority.