Kufungwa na Man U, haimaanishi Arsenal ni mbovu au hakuna progress. Progress inaonekana wazi kabisa!
Yoyote aliyeangalia mechi anajua Arsenal walivyo hatari.
Ni mechi ya kwanza dhidi ya Top 6 opponent. Huwezi kutumia mechi moja kama reference kwamba Arsenal bado hawezi kuzifunga Top 6 teams.
Misimu mingapi Man City anafungwa na kina Man U, Tottenham nk... na bado anachukua ndoo.
Kuna mdau mmoja alisema "Kama Man U ingecheza kama Arsenal jana, basi Man U angeshinda nyingi mnoo"
Kabla ya kufungwa goli la pill, Arsenal walikuwa dominant, walicontrol mpira na walikuwa threat going forward.
Goli la pili lilibadilisha dynamics za mechi. Wachezaji nao ni binadamu siyo robots, wanapata mental breakdowns pia.