Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nimesikitika sana hizi bata kufungwa goli 3, leo zilitakiwa kwa kiwango cha chini kabisaaa zipigwe walau hata goli 6.
AsaniWali, AsaniMbuzi, AsaniBata leo zitajisifia sana humu kwa kuweza kuwadhibiti Man United wasiwafunge goli nyingi.
just a dream na refa wenu wa mchongo.ila hongereni kwa matokeo.its another game at ot
 
kwangu haya matokeo yanafaida japo tumepoteza point tatu.kuna namna tumekuwa exposed na hilo kocha atalifanyia kaz
 
Yaani kuongoza ligi kwa points 3 dhidi ya Man U ni kama mko sawa ndio yale yale ya Chelsea msimu uliopita ni swala la muda tu mtatoka hapo juu na mtapoteza kujiamini maana wachezaji wenu wengi ni watoto.
Ndivyo ligi ilivyo, wengi tulifahamu kuwa matokeo ya leo yaliigemea zaidi Manchester United.

Lakin huo ndo mpira na Arsenal ni timu pekee ambayo ilikuwa haijapoteza game.

Hivyo twaendelea na ligi next Everton jumapili, at home Emirates tutapata nafasi ya kuongeza points at the summit.
 
Ndivyo ligi ilivyo, wengi tulifahamu kuwa matokeo ya leo yaliigemea zaidi Manchester United.

Lakin ihuo ndo mpira na Arsenal ni timu pekee ambayo ilikuwa haijapoteza game.

Hivyo twaendelea na ligi next Everton jumapili, at home Emirates tutapata nafasi ya kuongeza points at the summit.
na kuna mtu atadondosha point
 
Aaron Arsenal apewe ulinzi aliko.... allypipi na Kitoabu musaidie hii Arsenane...
Huyu asiruhusiwe kukaa peke yake.
Screenshot_20220904-193638.jpg
 
Wapenzi wa Arsenal twaamini safari hii lazima timu faulu kucheza CL.

Hiyo ya Ubingwa si priority kwani ni mapema mno kuzungumzia ubingwa.

Ubingwa huangaliwa baada ya 20 games.
wanajisahau mno hawa mamluki wanaokuja kutunanga japo tumepoteza dhidi ya timudhaifu
 
Midfield weka Lokonga,Smith Rowe na Mohammed El neny hapo utashinda

Yaani Leo Man Utd wamewashinda kwa Midfield yao ya Eriksen Na McTominay?!! Odegaard na Xhaka ni squad players bench warmers usitegemee kushindana katika big match kwa midfield umeweka Mctominay na Odegaard
 
Back
Top Bottom