Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilitazama mechi mkuu.

Xhaka na Odegaard kiushauri sio wa kusema una midfielders wa kupambana na Club vigogo

Fikiria kipindi Real Madrid Modric ana umri wa miaka ishirini na kitu hapo hapo yupo na Kroos ,hali kadhalika Barca kipindi Xavi ,Iniesta na Busquets wana miaka ishirini na kitu leo hii Arsenal inategemea Xhaka na Odegaard wakiwa wanaanza kwa pamoja
Mpira tuliutawala kwa kiasi kikubwa nini hoja yako?tulifunga goli halali wakakataa nini hoja yako,
Saka alikwatuliwa ktk penat box,nketia alichezewa rafu kwenye penat box zote zilikuwa tuta ,nini hoja yako....refa angekuwa fair nyumbu angekufa 4 sema mbeleko na bahati iliwabeba

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Always arsenal anatawala possesion akicheza na man u. Lakin kuna weakness moja ambayo arsernal miaka nenda miaka rudi hamuofanyii kazi.. mko so exposed kwa counter attack.
Na hapa man u ndipo wanawawezea
 
mumewabutua vibonde hawa hapa chini mkafura kichwa eti mna timu, tukiwaambiaga hapo hakuna timu ni academy mnakasirika, wakisha komaa vizuri mnawafanyia sendoff ili waende kuwatumikia wanaume
  1. C. Palace nafasi ya 15
  2. LCFC nafasi ya 20
  3. Bonamouth nafasi ya 13
  4. Fulam nafasi ya 10
  5. Aston Villa nafasi ya 17
Mbona timu yako haipo hata top 5 kabs
 
Always arsenal anatawala possesion akicheza na man u. Lakin kuna weakness moja ambayo arsernal miaka nenda miaka rudi hamuofanyii kazi.. mko so exposed kwa counter attack.
Na hapa man u ndipo wanawawezea
Sasa kama anatawala possesion why uwaunderrate viungo wa arsenal?wakati mpira wametawala na bahati imeamua

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama anatawala possesion why uwaunderrate viungo wa arsenal?wakati mpira wametawala na bahati imeamua

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Haha dogo it takes more than possesion kupata bao.
Hakuna mahali ni wa underrate viungo wa arsenal. Ili kimbinu bado sana
Possesion haikupi point, kucheza vizur hakukupi point, magoli tu
 
Nyie Kenge kama mmemaliza kutukana mtupishe sasa
Tuanze kuweka mikakati yetu sawa

Chelshit, mnapata wapi nguvu za kumcheka baba yenu wa london!?
 
Unajisifia kukaa kwa muda au ?
Angalia table mtu wa pili mpaka wa tatu mmeacha point moja. Halaf ni city na tot nafasi zifuatazo mmewaacha point mbili.

Do you realy think mta last? Kwa epl hii?
Ni gap LA point 1 tu kati ya arsenal na city-&spurs
 
Back
Top Bottom