Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnatakiwa muijue nafasi yenu, sio mnaanza ligi na vitimu vya kijinga halafu mnavimba vichwa.

Wanaona aibu sasa hivi yaani wamepishana points 3 tu Man U.

Sasa hivi Hawana tena jeuri ya ubingwa tofauti ya points 3 dhidi ya Man U unasemaje unachukua ubingwa hizo timu za katikati vipi?
 
Midfield weka Lokonga,Smith Rowe na Mohammed El neny hapo utashinda

Yaani Leo Man Utd wamewashinda kwa Midfield yao ya Eriksen Na McTominay?!! Odegaard na Xhaka ni squad players bench warmers usitegemee kushindana katika big match kwa midfield umeweka Mctominay na Odegaard
ulitazama mech mkuu?
 
Wanaona aibu sasa hivi yaani wamepishana points 3 tu Man U.

Sasa hivi Hawana tena jeuri ya ubingwa tofauti ya points 3 dhidi ya Man U unasemaje unachukua ubingwa hizo timu za katikati vipi?
kwani tofauti ya bingwa na mshindi wa pili ilikuwa ngapi kwa msimu uliopita.
 
kwangu mimi haya ni matokeo kama matokeo mengine.yaani kufungwa na man u niamini nna kikosi kibaya?!!!.big no
Watu wamesahau Arsenal ilifunga goli na kama lingesimama hadithi ingekuwa ingine.

Ligi ya msimu huu ndo ligi khasa maana kila timu haitaki upuuzi.

Ila Arsenal wanatakiwa wawe wanamaliza game mapema pale wanaposhambulia kwa kupiga goli mbili za kushtukiza kisha wacheza kawaida.
 
sitaki kuwa personal,hivi unafahamu tofauti ya shabiki na mpenz wa mpira kweli?
Unataka jibu lipi wakati results ni zile zile every season vs top 6 hata Wenger alikuwa anamiliki mpira na anafungwa so unataka nikujibu nini?game ya leo dunia nzima ilikuwa inasubiri kama kuna changes but hakuna changes so tuseme nini?tumezoea kutake L kwenye games za top 6 hasa away games sina la kukujibu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Watu wamesahau Arsenal ilifunga goli na kama lingesimama hadithi iungekuwa ingine.

Ligi ya msimu huu ndo ligi khasa maana kila timu haitaki upuuzi.

Ila Arsenal wanatakiwa wawe wanamaliza game mapema pale wanaposhambulia kwa kupiga goli mbili za kushtukiza kisha wacheza kawaida.
yes hasa unapocheza na timu kama man u halafu ukadhulumiwa kuna namna wachezaji wanakata tamaa
 
Vipi saliba hapo nyuma eti martinez mfupi yule hawezi kitu

Msimu huu nyie tuna piga in_out
1658433182168.jpg
 
Unataka jibu lipi wakati results ni zile zile every season hata Wenger alikuwa anamiliki mpira na anafungwa so unataka nikujibu nini?game ya leo dunia nzima ilikuwa inasubiri kama kuna changes but hakuna changes so tuseme nini?tumezoea kutake L kwenye games za top 6 hasa away games sina la kukujibu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
kwako changes ni kuifunga man u pekee?
 
Back
Top Bottom