Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliandika hili msimu uliopita wakati Partey ameumia, na leo narudia tena.

Tuswitch kwenye 3 5 2, hatuna mid so tuovercrowd mid na watu wetu, I think hii ni more logical kuliko kumkabidhi mzigo Lokonga ghafla.

Anyway, hii mbinu ya united ya kupaki basi na kaunta inahitaji 3 5 2. Kocha ajifikirie zaidi.
 
Tukiachana na kero za maharamia waliovamia humu. Leo tumecheza gem nzr sana ila tumefungwa kwa mbinu tu. ETH ameweza kusoma gep lenye udhaifu na akaweza kulitumia. Lkn binafsi nimefurahishwa na kiwango tulichofikia kwa sasa
 
Niliandika hili msimu uliopita wakati Partey ameumia, na leo narudia tena.

Tuswitch kwenye 3 5 2, hatuna mid so tuovercrowd mid na watu wetu, I think hii ni more logical kuliko kumkabidhi mzigo Lokonga ghafla.

Anyway, hii mbinu ya united ya kupaki basi na kaunta inahitaji 3 5 2. Kocha ajifikirie zaidi.
Mkuu Lokonga leo kakosa uzoefu wa kucheza peke yake kama afanyavyo Partey hivyo alikuwa anajisahau kukaa kwenye eneo lake na ilihitaji mbinu sana kugundua na kupitisha mipira ndicho kitu kimefanywa na ETH.

Na Arteta alijitahidi kubadili mfumo kila alipoona mambo hayaendi sawa, alianza na 4231 badae akaja 433, akaja tena 442 na mwisho baada ya kupigwa goli la pili akajilipua na washambuliaji 5. Sasa je sokoni kukoje!!!??
 
Fan yoyote wa Arsenal ambaye atasema Arsenal imeonyesha improvement tangia enzi za legend Wenger aachie team up to now anastahili MAKOFI MATATU YA USONI YA NGUVU and then aonyeshe difference tokea enzi hizo na sasa but for me Arsenal ni ile ile tia maji tia maji tunaweza tukawin against Southampton Bournemouth Fulham away but not for the top 6 teams so my conclusion is Arsenal ni ile ile nothing new ukweli mchungu but that's NAKED TRUTH hakuna changes mpya up to now

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Lokonga leo kakosa uzoefu wa kucheza peke yake kama afanyavyo Partey hivyo alikuwa anajisahau kukaa kwenye eneo lake na ilihitaji mbinu sana kugundua na kupitisha mipira ndicho kitu kimefanywa na ETH.

Na Arteta alijitahidi kubadili mfumo kila alipoona mambo hayaendi sawa, alianza na 4231 badae akaja 433, akaja tena 442 na mwisho baada ya kupigwa goli la pili akajilipua na washambuliaji 5. Sasa je sokoni kukoje!!!??
Tuache masihara.

Msimu uliopita Partey aliumia tukastruggle. Tumeanza msimu tukijua tunahitaji kiungo, Hatujasajili. Wanatokea mashabiki wanasema ni sawa kutosajili.

Leo pengo la mid limekua exposed mnooo nashindwa elewa hawa wenzetu msimu uliopita walikua wanaangalia mechi au hawakua wakiangalia
 
Mimi kwa kweli huu msiba sikuja kuwapa pole wafiwa kwa sababu mna midomo sana, na marehemu alikuwa na mdomo sana kwa majirani zake hadi kero. Sasa nimekuja tu kumchamba marehemu hadi akome na huko kuzimu akawaaambie na wenzake kwamba huku duniani mdomo mbaya sana
 
Nakazia
 
Tuache masihara.

Msimu uliopita Partey aliumia tukastruggle. Tumeanza msimu tukijua tunahitaji kiungo, Hatujasajili. Wanatokea mashabiki wanasema ni sawa kutosajili.

Leo pengo la mid limekua exposed mnooo nashindwa elewa hawa wenzetu msimu uliopita walikua wanaangalia mechi au hawakua wakiangalia
Masaa 12 yamepita yule mzee wa Mahaba bila facts Aaron Arsenal hajacomment chochote hadi sasa tukisema mtu aongee kwa facts bila kuweka mahaba tunaonekana haters goli 2 za jana za Rashford zimetokea wapi?jibu analo

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nilimwambia Aaron Arsenal timu ikifungwa huwa anapotea humu akasema sio kweli sometimes ana mambo yake binafsi but let give him the time tuone kama atakuja

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Subiri wakati wa usajili atakuja na tetesi zake uchwara, Aaron miaka 5 nipo Jf yeye nyakati kama hizi kuwa haonekani kuja kufanya uchambuzi kuna mwaka hadi watu walimuanzishia uzi wa kumtafuta maana alitoa imani na kutamba sana humu baadae mambo yakageuka vibaya nakumbuka ila final Europa mliyofungwa na Chelsea na kwa vile ilikua mwisho wa msimu jamaa alipotea sana akaacha jukwaa linashambuliwa mpk kulivyopoa na kufika muda wa tetesi ndio akaja kuendeleza uchambuzi wake.
 
Wachambuzi wanasema tactical switch alipowatoa Sambi, Odergard na ... ndio ilifanya wawe so exposed na ikawa ni ne way kwa Manure. Mwisho wa siku pakoja na kwamba tulidominate lakini manure walijua namna ya kutuexpose, ilikuwa swala la counter tu. Sambi hakuwa vibaya, ila kiuzoefu alizidiwa.
 
Mnapata wapi nguvu ya kuvaa jersey mtaani Leo?
IMG-20220904-WA0054.jpg

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Kuondoka kwa deadwoods kwangu mimi ni bora zaidi

Game ya nyumbu hapo kesho kutwa, kwa upande wetu haina pressure kubwa. Coz atapigwa tu

Partey hachukui muda mrefu atarudi kikosin

Tutavutana hivyo hivyo, hadi January ndio tutajua mashimo gani tuyajazilizie

By the way, nipo pamoja na Edu & Arteta

Trust the process

#Coyg
 
Granit Xhaka na Sambi wanatosha sana ku dominate katika eneo la middfield endapo Sambi ata maintain Kama mechi ya juzi.

Sioni Nyumbu akitoka kabisa..

Yule bladifakeni lazima afe pale pale kwenye matofali ya kuchoma.
Ndio ndio
 
Back
Top Bottom