Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

10 men blackburn, in all honest that red card was a bit harsh.
 
ARSENAL PLAYING NOW against TEN men Blackburn

Haya sasa kazi kwenu mshindwe kumalizia wenyewe

Heri tusiocheza mipasi lakini magoli yapo......hahahaa

Ona mnavyomiss opportunities ndani ya 18 kwa vijipasi vyenu na vigoli vya kifaransa
 
hope sina tena....naona ni draw au jamaa wanaweza kutubabatiza At last minutes........
 
Arsenal kama Yanga vile.....Inakera mpaka basi....Nachelea kuwapa rasmi Man Utd ubingwa mwaka huu......Hongera zenu Manda & Co.
 
Washabiki wetu wanaokwenda emirates nao kutoshangilia mpaka mwisho inachangia kuwapoozesha wachezaji pia.

Uwanja uko kimyaa, timu zingine wanashangilia mpaka dakika mwisho hata matokeo yawe vipi.
 
Jamani ahsanteni kwa kutupendelea na kutuachia kutamba juu

Hahaaaa....Asenali bana, big up sana vijana maana naona mna madhara ya kisaikolojia toka kifinyo cha Birmingharm na Barca

Poleni sana
 
Another TROPHYLESS SEASON.............more xcuses fo AW.....may be its tym 4 him to Go........
 
Vp gunners!!..naona imekuwa suluhu mechi!

Wenger na kikosi chake kimeishiwa mbinu.

Its over, summer inakuja afanye madudu yake tena kwenye usajili tuendelee kukosa makombe.

Atleast sasa nina huakika hakuna kombe tena n aweza kuacha kujipa stress na mechi zetu.
 
What a weekend, Football Gods wamesikia sala zangu leo, nimeomba mtoe draw na kweli imetimia.
Ngoja nikawaangalie Milan(s) sasa.
 
Oo no AW, ndio mmekikosa hivyooo?!..pole!! mzima lakini??


Mzima mimi, za siku? Kombe limekwenda, nilitumia wiki mbili za break kwenda loliondo nikajua mambo yatakuwa safi kuanzia leo lakini wapi.

Wanakera sana wachezaji wetu na AW. Sisi washabiki ndio tuna hamu ya kombe kuliko wao. AW anawadekeza hata kujituma hawataki wapo wapo tu wanapigiana pasi zao mpaka wanasahu kwamba magoli ndio yanatoa point 3.
 
Back
Top Bottom