Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vp gunners!!..naona imekuwa suluhu mechi!

Si unajua chichi huwa hatubebwi kama nyie, tunashinda kihalali usijali sana matokeo ya leo point moja kibindoni si haba. Its gona be all the way to the wire.
 
Si unajua chichi huwa hatubebwi kama nyie, tunashinda kihalali usijali sana matokeo ya leo point moja kibindoni si haba. Its gona be all the way to the wire.

Ila inabidi mjifunze kufunga....nyie sio wa kubebwa kwa sababu hambebeki......waswazi wanasema ukitaka kubebwa jua kushikilia mjomba

Hahaaa....nasikitika tu kuwa leo siku mbaya kwenu na jamaa zangu wa Madrid Mourinho kachezea kichapo cha kwanza home toka 2002...kampa bonge la ahueni Pep

Ngoja nijibanze niwangoje watoto Barca wakikipiga na Villareal......
 
Si unajua chichi huwa hatubebwi kama nyie, tunashinda kihalali usijali sana matokeo ya leo point moja kibindoni si haba. Its gona be all the way to the wire.

kwa mchezo huu, hata kukaribia hapo ktk red ni ngumu! B'burn is a weak team....n' at emarates its a loss....big big loss
 
Season ya Man united sijui kama Ferguson atwaachia vijana wake wa drop points kizembe zembe kama Wenger anavyowaachia vijana wake, sana sana wakati huu April.
 
Poleni wenzangu....:bored::bored::bored:

VIVA ARSENAL

Asante, Pole na wewe. Ndio hivyo tumepoteza kombe la mwisho next week tunaanza pre-season games kujiandaa na season hijayo.

Mmabo mengine vipi lakini? siku nyingi manake mambo ya international break.
 
Season ya Man united sijui kama Ferguson atwaachia vijana wake wa drop points kizembe zembe kama Wenger anavyowaachia vijana wake, sana sana wakati huu April.
Timu yangu inatakiwa ishinde mechi zote zilizobakia kati ya wiki ijayo na May 1st.
 
kwa mchezo huu, hata kukaribia hapo ktk red ni ngumu! B'burn is a weak team....n' at emarates its a loss....big big loss

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaangalia EPL au unaangalia ligi gani? Kuna timu kama 10 hivi hazitaki kushuka daraja chacha njomba utaona kitakachotokea wala usie na shaka no guarantees hata kama ni za bahasha.
 
gunners msimu bai bai, mie sasa hata kuangalia mechi za arsenal siangalii maana kila siku stress.
 
This mchumi should go and manage in a bank now ... not arsenal!
 
...better send the players likizo sasa, ni wakati wa 2nd string nao waonje EPL.
ni hasara hata kwa seasonal ticket holders, wanapoteza train/bus fares bure tu kwenda
kuangalia madudu haya.

Our season is over. Dhana eti Man United wata drop 7points ni ndoto za alinacha.
Tutange msimu ujao sasa, Wenger akitaka kusajili haya, akiamua kuendelea na paukwa pakawa zake,
pouwa vile vile, ...We are Arsenal Together We Stand!

Credits to the team esp Individual players who stood up to be counted, i.e Szczceny, Djourou, Wilshere,
na Theo Walcott...
Hakuna aliyetarajia msimu huu tungekuwa mbele ya Chelsea na Man City wanao fadhiliwa na ma "sugar daddy."
 
Timua huyo Mr Bean otherwise mtaendelea kuwa wasindikizaji,naamini tutachukulia ubingwa hapo Emirates
 
Washabiki wetu wanaokwenda emirates nao kutoshangilia mpaka mwisho inachangia kuwapoozesha wachezaji pia.

Uwanja uko kimyaa, timu zingine wanashangilia mpaka dakika mwisho hata matokeo yawe vipi.

It's not called the LIBRARY for nothing. What do you expect when the stadium is full of plastics like Wacha1
 
"You can't say we will build something and spend three, four or five years waiting for trophies." - Rafa Benitez
 
gunners msimu bai bai, mie sasa hata kuangalia mechi za arsenal siangalii maana kila siku stress.

Who said so .... .... ..... .... ..... another loser. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

"You can't say we will build something and spend three, four or five years waiting for trophies." - Rafa Benitez

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chelsick walisubiri miaka 50 kushinda EPL, Loserfools wanahesabu miaka 17 chacha na ushee bado natafuta records zenu Manure au wewe utwambie mlichubiri miaka mingapi in modern era kama sijakosea more than 25 years. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Wacha ngebe.
 
Back
Top Bottom