Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

all in all B'Pool ndo wamedominate game....ila kwetu sisi kama kawaDiaby anagawa maboko kama sio professional...
 
all in all B'Pool ndo wamedominate game....ila kwetu sisi kama kawaDiaby anagawa maboko kama sio professional...

Huyu Diaby inabidi awekwe dakika za nyongeza wakati kikosi kimeshinda.......
 
Mpoki kascore bonge la goli.....Kuanzia move yake mpaka alivyofunga... ni CLASSICAL.....ila kama N'Castle walirudisha nne...sina imani na hizi mbili.....
 
Wakulu mpo,

Najaribu kuingia online hapa Benghazi.

Watu wanasema Arsenal wana "easy run-in" kutafuta ubingwa lakini bado tuna game ngumu sana.

Tuna game nyumbani na Liverpool halafu Tottenham tena kwao.

Mkuu Wenger hii imekaaje?
 
Nafasi nyingine ya wazi,tutakuja kujuta

Tunalemba sana

Mimi ntangoja mpaka dakika 93 ziishe.

Arsenal wanaitwa unpredictable".

Hawa Blackpool chini ya uangalizi wa mzee Ferguson wanaweza kukandamiza jitihada zote.
 
Mimi ntangoja mpaka dakika 93 ziishe.

Arsenal wanaitwa unpredictable".

Hawa Blackpool chini ya uangalizi wa mzee Ferguson wanaweza kukandamiza jitihada zote.

Kama ulivyosema mkuu naona vijana wamesharudisha kagori kamoja tayari!
 
Back
Top Bottom