...almunia akiuza na hii mechi, ndio utakuwa mwisho wake.
Duh Salgado bado anacheza tu...!! Jamaa amefanana na Mendieta.
Mkuu, pamoja na kuwa nina msiba huko kwetu lkn naomba nikuulize; Kumbe mara nyingine unakuwa mpole hivi?! Ila nawatakia mshinde... kila la kheri.Wilshire aanze kufunga sasa ..... ........ ....
Hawa Blackburn hawana creativity lol!!Pasi za kwenye box zina tu-cost sana