dah! lakini mkuu gonners tunakosa kitu kimoja! leadership !!! namkumbuka sana Veira he was a true camptain!.., wenger imefika kipindi aachane na vitoto anunue hata wachezaji wa 2 experienced .. am sure akidumbukia seria A au ligue ya portugal kule atapata wachezaji wa maana! arsenal sasa tukiwakosa , RVP, febragas, nasri, sagna .. we are done!!
Salama ya Arsenal n kuondoka Wenger, he is not a tactician, same pattern of football for every team, ndio maana imekuwa team rahisi sana kucheza nayo.
He needs to go, wachezaji ni wazuri sana ila wamekosa mwalimu mwenye ujuzi wa football.