Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usijali hapo katikati Song, Cesc na Walcott watakuwa wamerudi ndio moto utawaka wakati nyie mnatiana ngeu kwenye CL usisahau na nyie Evans three matches out.

Bora huyo Evans Akae nje pale nyuma acheze Carrik, if you watched our game today you could have understood me men! the guy is no longer fit to play for MANU
 
Almunia for England, FACT....bundi karudi nyumbani kwake Emirates rasmi, FACT....SIX YEARS AND COUNTING, FACT....NEW TROPHYLESS ERA AT EMIRATES, FACT.
Those are the FACTS, muulize Rafa Benitez the Spanish Waiter ukitaka details.
to be honest, yule kipa wa arsenal aliyevunjika kidole is the best

huyu almunia is shyte
 
... .... .... ... ... ... lakini mwaka huu bado hatujapoteza mechi ya EPL ... .... ...

This will be your sole success this season....at least you can console yourself.... khe khe kheeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
congrats mkuu... mwaka huu hamjapoteza hata mechi moja in EPL

remember... almost doesnt count

FYI we are title contenders ndio chababu roho inakuuma ulichonga sana kabla ya mpira kwisha lakini baada ya magoli kurudi unaweweseka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee patachimbika tu. waulize peasant waliodai kombe November wako wapi? Wanagombea nafasi ya Europa cup! Na wewe hata hiyo umepiga hola.
 
Bora huyo Evans Akae nje pale nyuma acheze Carrik, if you watched our game today you could have understood me men! the guy is no longer fit to play for MANU
To be fair he had a decent game mpaka alipopewa kadi.
 
Pole sana Mkuu! nawatakia kila la kheri kesho dhidi ya money star city
khe kheheheee.... hihiiiii

mkuu usione napiga kelele humu, mie timu yangu imefulia

nasapoti liverpool aisee

haka ka wacha1 huwa kananishambulia sana kule jukwaa langu
 
FYI we are title contenders ndio chababu roho inakuuma ulichonga sana kabla ya mpira kwisha lakini baada ya magoli kurudi unaweweseka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee patachimbika tu. waulize peasant waliodai kombe November wako wapi? Wanagombea nafasi ya Europa cup! Na wewe hata hiyo umepiga hola.
chababu??

khe kheheheeeeeeeeeee...... hihihiiiiiii

Kweli umechanganyikiwa na droo
 
Usijali hapo katikati Song, Cesc na Walcott watakuwa wamerudi ndio moto utawaka wakati nyie mnatiana ngeu kwenye CL usisahau na nyie Evans three matches out.
Yet you are trailing the pacemakers by five points, what does that tell you?
 
How does that count when we have a match with you? And also one game in hand? Vipi mkuu ulikimbia umande nini? ... ... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Thats what makes todays point very important to us.
 
chababu??

khe kheheheeeeeeeeeee...... hihihiiiiiii

Kweli umechanganyikiwa na droo

Chacha ndio unaongea nini. chichi njomba mpaka lyamba lya mfipa .... .... .. ... hao Mafioso walikuwa na matumaini lakini wanakula hola mwaka huu. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio chababu unaona peasant anaweweseka kama yatima.
 
How does that count when we have a match with you? And also one game in hand? Vipi mkuu ulikimbia umande nini? ... ... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Thats what makes todays point very important to us.
Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.

Heheh umedrop two points kwenye mechi uliyotakiwa uchukue point tatu alafu unafurahia kweli wewe kiboko.....
 
SIX YEARS is long enough to develop a broad repertoire of anti-trophy antibodies, in Whinger we trust.
 
huruma!!!
B3357B27103149FC84BE4B28B5CA374F.ashx
 
Jamani kwani imekuaje koz wengine hatukuwepo?

Hukuwepo wapi? Kunguru mweupe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.

Heheh umedrop two points kwenye mechi uliyotakiwa uchukue point tatu alafu unafurahia kweli wewe kiboko.....

WBA walitufunga Emirates kwa hiyo mechi ya leo ilikuwa ni ngumu kwa wachezaji wetu ukitilia maanani wakati walitufunga Emirates ni huyu huyu Almunia ndio alikuwa golini. Wenger alitaka ajirekebishe lakini naona Mafioso walimuwahi, hata hivyo vijana waliongeza nguvu na kurudisha magoli mawili chacha njomba hapo hutaki tujipongeze bali tulalamike. One point ni nzuri kwa sababu mechi yenu na chichi Emirates ni lazima tushinde mtake msitake muulize Fungie inalijua hilo. Au muulize peasant walichokiona kilichomtoa kanga manyoya. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.

Heheh umedrop two points kwenye mechi uliyotakiwa uchukue point tatu alafu unafurahia kweli wewe kiboko.....

Ameridhika na kutofungwa tangu mwaka huu uanze, that's a big achievement for him, not a trophy. Hii ndio tofauti kubwa ya Arsenal (kuanzia kocha , wachezaji mpaka washabiki,), wakati sisi tuna ambition za vikombe wao wana ambition za kutofungwa na Chelsea na Man United na kutofungwa tangu mwaka mpya regardless wanakusanya point ngapi in the process.
 
Back
Top Bottom