Unaenda Loliondo kupata kikombe? Maana season ikishafikaga miezi hii pressure nje nje.
Kumbe matatizo mnayajua halafu kila siku mnasingizia timu nyingine zinabebwa
Kumbe matatizo mnayajua halafu kila siku mnasingizia timu nyingine zinabebwa
Ng'wanza,
Mbona unataka kuleta ugomvi? Profwesa Maji Marefu tumemnunulia tikiti aende Loliondo, kina Mbu, Wacha, Wenge, GT na baniani kiatu yake mbaya wanadai Al Muntazir ni kipa wa Dunia!
we khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee a.k.a wacha si uwapishe na wenzio umeshapiga paper III Inatosha![]()
Yep,it is all about arsenal.
Arsenal: TOGETHER WE STAND............I Love you Arsenal.......Forever and for always
Nimepita kuwasabahi watani...salama?, nimewamiss sana...naona weekend mbali eti tuanze mambo yetu yaleeee!
Siku zimeganda kwangu.
Hongera sana alama ya soka la afrika!
Akiongea pale uwanjani utasikia? Au unataka apigane ngumi? Ni mchezaji mzuri sana, anjituma, anacheza kusaka ushindi, anafunga magoli na anasaidia kupatikana mengine, tatizo ni kuchezeshwa hata pale anapokuwa hajapona sawasawa, pia sidhani kama alifaa kuwa captain wa timu.Nilimaanisha haibalance timu kunako pitch.HAONGEI....
Akiongea pale uwanjani utasikia? Au unataka apigane ngumi? Ni mchezaji mzuri sana, anjituma, anacheza kusaka ushindi, anafunga magoli na anasaidia kupatikana mengine, tatizo ni kuchezeshwa hata pale anapokuwa hajapona sawasawa, pia sidhani kama alifaa kuwa captain wa timu.
Salam wakuu wote wa gunners na wengine. Noan wiki mbili zilikuwa kama mwezi lol. N i vizuri lakini imetusaidia wengine kurecover na sasa tuko tayari kumalizia mechi zilizobaki kwa nguvu zote.
Wanajeshi wamerudi wa kutosha na wako tayari kumalizia safari ilionzia Anfield tarehe 15-08-2010.
Kila la kheri wakuu wa gunners.
Vipi mjeshi Almunia nae karudi?