Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

WBA walitufunga Emirates kwa hiyo mechi ya leo ilikuwa ni ngumu kwa wachezaji wetu ukitilia maanani wakati walitufunga Emirates ni huyu huyu Almunia ndio alikuwa golini. Wenger alitaka ajirekebishe lakini naona Mafioso walimuwahi, hata hivyo vijana waliongeza nguvu na kurudisha magoli mawili chacha njomba hapo hutaki tujipongeze bali tulalamike. One point ni nzuri kwa sababu mechi yenu na chichi Emirates ni lazima tushinde mtake msitake muulize Fungie inalijua hilo. Au muulize peasant walichokiona kilichomtoa kanga manyoya. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Golini anakaa Almunia au? Mjomba nishakuzoea weye kabla hatujacheza na nyie OT ulisema hivyo hivyo, mechi ya FA nayo ulipiga yengele nyiiingi tukawatundika 2. Sasa kutokana na analogy yako hapo kwenye blue ni kuwa tutashinda mkijitahidi sana mtaambulia draw sio? Maana tushawafunga mara mbili msimu huu.

Arsenal boss Arsene Wenger: "It was a game where we need to show lots of character and resilience in a football match which was played on a rugby pitch. It was more about character than football today. It was attack against defence for 90 minutes and in the last 10 minutes it was us who were close to winning the game. We made a massive mistake on the second goal and you cannot afford to do that. But we have shown we are ready to fight."

Wenye wivu wanaonekana wapo nafasi ya chini zaidi ya Arsenal na hawajui watatokaje huko chichi tunafahamu fika jinsi ya kuwapita manure .. ... ... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Golini anakaa Almunia au? Mjomba nishakuzoea weye kabla hatujacheza na nyie OT ulisema hivyo hivyo, mechi ya FA nayo ulipiga yengele nyiiingi tukawatundika 2. Sasa kutokana na analogy yako hapo kwenye blue ni kuwa tutashinda mkijitahidi sana mtaambulia draw sio? Maana tushawafunga mara mbili msimu huu.

Sio wewe unayeogopa mechi za kukamiwa? Au chio wewe njomba? Golini tutamuweka peasant atasaidiwa na Cech ... ... ooops atakaa Lehmann Almunia tutawauzia mafioso si amechukua mpunga kule.

Jamani pangeni folen acheni fujo! We Wacha1 usiwapite wenzio wamekuja kitambo, michelle ingia mstarini usisimame pembeni.
mch%20mwaisapile.jpg

Ameridhika na kutofungwa tangu mwaka huu uanze, that's a big achievement for him, not a trophy. Hii ndio tofauti kubwa ya Arsenal (kuanzia kocha , wachezaji mpaka washabiki,), wakati sisi tuna ambition za vikombe wao wana ambition za kutofungwa na Chelsea na Man United na kutofungwa tangu mwaka mpya regardless wanakusanya point ngapi in the process.

Well said....

Anko Wacha1 Asamaleko ustaadh!

Jamani pangeni folen acheni fujo! We Wacha1 usiwapite wenzio wamekuja kitambo, michelle ingia mstarini usisimame pembeni.

Hahahahaha! acha vurugu Mfarisayo. Ila huyu Wacha boy hii ni mara ya tatu namwona anapanga foleni, asije akajiovadozi, anadhani hii juicy ya Ukwaju?..Baba Mwaisapile kamata hii mutu piga fimbo!!!?

hahahahahaha, dozi haijamtosha ndio maana anarudia mara tatu, mara ya kwanza kama Wacha, mara ya pili kama Wacha1, mara tatu kama khe khe kheeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!

Mpatieni huyo mtoto ya tima uji mama yake anamtafuta kwenye jukwaa lao naona Tor The Res bado hata uji wa mgawo hajapata chacha huyu anakuja ganga njaa humu .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hii timu kweli mpira inacheza lakini mmmhhh
inatia marazi ya moyo, ikiwa una marazi ya moyo usipende asanali unaweza pelekwa mochwari bado unahema,

hao wadau kwa kweli wanahitaji kwenda Loliondo, kwani kama Arsenal wanashinda vikombe viwili tu basi hata share yake itapanda bei lakini mmmhh kwa mtaji huu...

87948628_display_image.jpg

logo.jpg

...WE WILL BE BACK, TOGETHER AS ONE,
TOGETHER WE STAND!

How does that count when we have a match with you? And also one game in hand? Vipi mkuu ulikimbia umande nini? ... ... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Thats what makes todays point very important to us.

dah! lakini mkuu gonners tunakosa kitu kimoja! leadership !!! namkumbuka sana Veira he was a true camptain!.., wenger imefika kipindi aachane na vitoto anunue hata wachezaji wa 2 experienced .. am sure akidumbukia seria A au ligue ya portugal kule atapata wachezaji wa maana! arsenal sasa tukiwakosa , RVP, febragas, nasri, sagna .. we are done!!

Almunia for England, FACT....bundi karudi nyumbani kwake Emirates rasmi, FACT....SIX YEARS AND COUNTING, FACT....NEW TROPHYLESS ERA AT EMIRATES, FACT.
Those are the FACTS, muulize Rafa Benitez the Spanish Waiter ukitaka details.

Mhhhh.....Jirani kweli umeamua kurudi kwa ari,kasi na nguvu mpya,maana wiki mbili kama si tatu nyuma ulikuwa mpoleee......

Kwani kabla Roman hajaichukua Chelsea kutoka kwa mzee Ken ulikuwa unashabikia timu ipi kwenye EPL???.....Maana kama ulikuwa ni Chelsea nitakushangaa kuishikia bango Arsenal iliyokosa title for 6 years ilhali Chelsea walikosa for 50 years(Thank God you found Roman) na kwa jinsi hli ilivyo mnaweza kurudia mwanzo wa enzi....Ama wenzetu mwaka huu mnachukua ubingwa wa EPL??.....

Binafsi huwa nawashangaa sana mashabiki wa Chelsea wanaoicheka Arsenal eti ni trophyless kwa muda mrefu(6 years?),vipi kuhusu Liverpool(bora hata Liverpool waicheke Arsenal maana wao rekodi yao kwenye soka la Uingereza imetukuka lakini si Chelsea).............Ukweli ni kwamba Chelsea hauwezi kuifananisha kimafanikio na Arsenal hata siku moja.......lol

Sijawahi kushabikia timu tofauti na Chelsea mkuu, tangu enzi za shida mpaka wakati huu wa Abramovich, mimi sifuati timu zenye mafanikio kama wengi wenu mliochagua Arsenal, Manchester na Liverpool kwa sababu wakati huo zilikuwa na mafanikio, wewe kwanini hukushabikia West Ham au Southampton? Wengi wenu utakuta ni glory hunters mnaongalia timu za juu tu. Stamford Bridge ni uwanja pekee nimewahi pelekwa nikiwa mdogo, that's where it all started. Najua Abramovich kaja na vikombe kibao (lakini tulikuwa tunachukua some cups hapa na pale kabla hajafika) hivyo sio rahisi watu kuongelea kuhusu Chelsea maana tulikuwa hatuchukui vikombe mara kwa mara. Tunapoongelea trophyless kwa Arsenal tunamaanisha kukosa vikombe vyote, sio EPL peke yake kwa timu iliyojenga utamaduni wa kuchukua vikombe mara kwa mara, ndio maana Liverpool watu wanaongelea zaidi kukosa kwao ubingwa wa EPL kwa miaka 20 kwa sababu huko nyuma walilifanya kama lao japokuwa wanashinda some cups. Kwa sasa hivi Chelsea kwa sababu wameshajenga nao tradition ya kuchukua vikombe, ikipita miaka miwili bila hata Carling cup utasikia neno trophyless likianza kuwaandama (and I will be happy with it coz it's a good challenge that shows what the club is expected of), football must have a victim of results, that's why we love it.

Sikatai kuhusu tofauti ya mafanikio kati ya Chelsea na Arsenal, statistics don't lie, na sijawahi kusema hili maishani mwangu....
....pia sijasema popote kwamba tutachukua EPL mwaka huu, lakini pia sidhani kama we're out of it already, bado tuko kwenye UCL, japo tunaweza kumaliza trophyless.

dah! lakini mkuu gonners tunakosa kitu kimoja! leadership !!! namkumbuka sana Veira he was a true camptain!.., wenger imefika kipindi aachane na vitoto anunue hata wachezaji wa 2 experienced .. am sure akidumbukia seria A au ligue ya portugal kule atapata wachezaji wa maana! arsenal sasa tukiwakosa , RVP, febragas, nasri, sagna .. we are done!!

...on spot mkuu, ila hapo kwenye experience sikubaliani napo. Hatuwezi kununua experience. Tulishanunua kina Gallas toka Chelsea, kina Silvestre, ...mchezaji kama Arshavin, Rosicky, na wengi waliokuwa Arsenal toka 2006, kina Eboue, CLICHY, Fabregas, Van Persie na Almunia...wana experience ya kutosha. Tunahitaji aina mpya ya wachezaji. Hatuwezi kuendelea, iwapo team inawategemea Fabregas, Walcott na Van Persie pekee.

Tuna mapungufu makubwa kutokana na injuries za wachezaji muhimu, lakini hilo haliondoi ukweli, hata tuylipokuwa na kikosi kamili, team haikuwa na ari ya ushindani. Hilo liliwahi kuwa addressed na Gallas kabla hajavuliwa u captain, Alumunia kalitamka, na hata Denilson. Lakini Bbau Wenger hapendi ukweli huo. Hatuna Natural leaders mfano wa Tony Adam, Sol Campbel, na Winterburn au Keown.. I hope Lehmann will inject some leadership.

Mhhhh.....Jirani kweli umeamua kurudi kwa ari,kasi na nguvu mpya,maana wiki mbili kama si tatu nyuma ulikuwa mpoleee......

Kwani kabla Roman hajaichukua Chelsea kutoka kwa mzee Ken ulikuwa unashabikia timu ipi kwenye EPL???.....Maana kama ulikuwa ni Chelsea nitakushangaa kuishikia bango Arsenal iliyokosa title for 6 years ilhali Chelsea walikosa for 50 years(Thank God you found Roman) na kwa jinsi hli ilivyo mnaweza kurudia mwanzo wa enzi....Ama wenzetu mwaka huu mnachukua ubingwa wa EPL??.....

Binafsi huwa nawashangaa sana mashabiki wa Chelsea wanaoicheka Arsenal eti ni trophyless kwa muda mrefu(6 years?),vipi kuhusu Liverpool(bora hata Liverpool waicheke Arsenal maana wao rekodi yao kwenye soka la Uingereza imetukuka lakini si Chelsea).............Ukweli ni kwamba Chelsea hauwezi kuifananisha kimafanikio na Arsenal hata siku moja.......lol

...bora umemuambia.

Sijawahi kushabikia timu tofauti na Chelsea mkuu, tangu enzi za shida mpaka wakati huu wa Abramovich, mimi sifuati timu zenye mafanikio kama wengi wenu mliochagua Arsenal, Manchester na Liverpool kwa sababu wakati huo zilikuwa na mafanikio, wewe kwanini hukushabikia West Ham au Southampton? Wengi wenu utakuta ni glory hunters mnaongalia timu za juu tu. Stamford Bridge ni uwanja pekee nimewahi pelekwa nikiwa mdogo, that's where it all started. Najua Abramovich kaja na vikombe kibao (lakini tulikuwa tunachukua some cups hapa na pale kabla hajafika) hivyo sio rahisi watu kuongelea kuhusu Chelsea maana tulikuwa hatuchukui vikombe mara kwa mara. Tunapoongelea trophyless kwa Arsenal tunamaanisha kukosa vikombe vyote, sio EPL peke yake kwa timu iliyojenga utamaduni wa kuchukua vikombe mara kwa mara, ndio maana Liverpool watu wanaongelea zaidi kukosa kwao ubingwa wa EPL kwa miaka 20 kwa sababu huko nyuma walilifanya kama lao japokuwa wanashinda some cups. Kwa sasa hivi Chelsea kwa sababu wameshajenga nao tradition ya kuchukua vikombe, ikipita miaka miwili bila hata Carling cup utasikia neno trophyless likianza kuwaandama (and I will be happy with it coz it's a good challenge that shows what the club is expected of), football must have a victim of results, that's why we love it.

Sikatai kuhusu tofauti ya mafanikio kati ya Chelsea na Arsenal, statistics don't lie, na sijawahi kusema hili maishani mwangu....
....pia sijasema popote kwamba tutachukua EPL mwaka huu, lakini pia sidhani kama we're out of it already, bado tuko kwenye UCL, japo tunaweza kumaliza trophyless.

...bora umekuwa mkweli.

dah! lakini mkuu gonners tunakosa kitu kimoja! leadership !!! namkumbuka sana Veira he was a true camptain!.., wenger imefika kipindi aachane na vitoto anunue hata wachezaji wa 2 experienced .. am sure akidumbukia seria A au ligue ya portugal kule atapata wachezaji wa maana! arsenal sasa tukiwakosa , RVP, febragas, nasri, sagna .. we are done!!

Unaonekana upo kama media ya UK sasa ambao hawakubali kwamba Arsenal wamekuwa transformed under Wenger hata alipofanikiwa bado wanasema wachezaji wale aliwakuta na akitaka mafanikio zaidi lazima anunue wachezaji wa England bila hivyo asifanikiwe kwa udi na uvumba
lakini yule jamaa wa Spurs hata akipoteza ni bahati mbaya au Loserfools wakipoteza haikuwa siku yao. Chelsick ambao chini ya Abraham O Vich wamenunua media yote ya UK na pundits wa sports ndio uchicheme kabisa. Ukiangalia table ni timu ngapi zingependa kuwa in our position. Ukiondoa wachezaji uliowataja hapo juu kila timu kama inakosa mastaa wake 4 au 5 haitakuwa katika hali nzuri. Huyo Viera mbona hata wakati wake kuna mechi tulipoteza soma comment za Wenger kuhusu hilo .... ..... .... ..... ..... https://www.jamiiforums.com/sports-...56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-24.html

BTW tulipowafunga Chelsick hamkusema hawana leadership! Phew!

Huyo ya tima siku yake ya kupiga kelele leo ndio mwisho maana Mancs wanawachubiri kwa hamu kwenye mpambano wa kugombania Europa cup khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Back
Top Bottom