42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
serious?Mpira kweli umebadilika sana, sijaona kama ile ni penalty.
serious?Mpira kweli umebadilika sana, sijaona kama ile ni penalty.
Arsenal akili hazimo hawaRefa unamtukana bure tu, cedric amefanya upumbavu mwenyewe.
Hapa katikati hawa watoto wenu walipunguza ujinga wa kucheza rafu za hivyohovyo na kula kadi nyekundu, ila mechi ya leo kwa hizi rafu za kipumbavu anazochezea Son sidhani kama mtakosa kadi nyekundu.
maamuzi gani mabaya refa alifanya?I told you guys refa kanunuliwa na amefanya fixing huyu amepangwa ok alrightthat's the fuckin truth guys
kwani hakusukumwa?Hamna handball pale, ameweka kwa kusema alisukumwa.
Leo ni kama var hamna.
Naona mmepata escape goat...Kunahaja gani ya kuwa na VAR kama refa hahitaj kuitumia kwenye utata
Refa wa leo gem ilimshinda kabla ya kuianza
Katika angle ipi?Golikipa Bora kabisa
Ni Refa ndiye katuzidi mbinuPoleni wana arsenal wenzangu.
Mungu alitusaidia tukashinda game ngumu sana,hata hii tulikuwa tunashinda ila tukazidiwa mbinu kocha alizidiwa mbinu.
Bado tuna nafasi ya top four tuzidi kufanya vyema game zilizosalia.
We are the gunners forever.
Sawa, kumekucha sasa tunaomba uchambuziChapati nyingine hii.
Arsenal kajihakikishia kwenda Europa tangu game na Westham.
Angeshinda leo angejihakikishia CL.
Hajashinda anabakiwa na majaribio mawili ili kusecure nafasi ya CL.
Pimbi wewe.
Halafu mi na wewe si wote tumeitwa kwenye usaili Dom?Sawa, kumekucha sasa tunaomba uchambuzi
White karudiUnajiuliza, mchezaji kama Rob ambaye ni senior kabisa, why commit a silly foul wakati unajua kabisa upo kwenye yellow na hii ni game muhimu kuliko zote msimu huu? Nashindwa kuelewa alifikiria nini?
Kwani Arteta huwa haongea DONT'S and DO'S kabla ya game?
Sasa kwa defence ikiyopo kwa games mbili tutarajie ushindi na top four kweli?
Nashangaa sijui wanapata wapi ujasiri wa kumtaka Jesuse na wachezaji wengine wakubwa wakubwa wakati tunajua hii ni klabu ya kusajili wachezaji wa pound million nane au tisa hivi ..wakisajili juu ya hapo ni lazima wapigwe tu. Angalia kwa pepekalee wamepigwa, lacazete walipigwa ..Yani ni kupigwa tu🤣🤣🤣Arse ninyi mnafaa kuwa na academy kama akina Nketiah tu. High profile hamuwawezi
Mmemfukuza Auba sasa kule kakiwasha game 15 goli 11 na assists 1
Akiwa Arse misimu miwili game 43 goli 14
Au mmesahau kuwa Arse ni academy ya kuwakuza vijana na kuwauza. Na mapato yenu yanapatikana kwenye hiyo chanzo. Siku mkianza kushindania makombe mtaporeza dira kabisa. Tuandalieni ti hao academy na miwaingize sokoni haraka kabla hawajashuka bei. Bukayo Saka msimu huu tutamhitaji. Pigeni bei acheni ufala
Top foo ya uswahilini labdaPoleni wana arsenal wenzangu.
Mungu alitusaidia tukashinda game ngumu sana,hata hii tulikuwa tunashinda ila tukazidiwa mbinu kocha alizidiwa mbinu.
Bado tuna nafasi ya top four tuzidi kufanya vyema game zilizosalia.
We are the gunners forever.