Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,795
- 103,688
Unataka atoe saa ngap.? Biashara asubuhi tuuRefa anatoa yellows mapema mno
Unataka atoe saa ngap.? Biashara asubuhi tuuRefa anatoa yellows mapema mno
Haya nilichokisema hicho Hapo, tayari kadi nyekundu kwa makosa ya kipumbavu kabisa.Ile nyepesi sana kuwa penati.
Hamna handball pale, ameweka kwa kusema alisukumwa.Utaonaje na wewe uko mbali refa pua na mdomo Son kanyimwa kupiga kichwa kwa handball. Ndio maana refa katoa penalty haraka
Huyu Holding hua sawa na Xhaka hua akili zao ni ndogo sanaHaya nilichokisema hicho Hapo, tayari kadi nyekundu kwa makosa ya kipumbavu kabisa.
I told you guys refa kanunuliwa na amefanya fixing huyu amepangwa ok alrightthat's the fuckin truth guys
No bro first of all katoa penalty ya kisenge then katoa 2 yellow cards za kimchongo huyu refarii anatokea wapi?ukimuangalia kwa jicho la 3 kuna kitu kinamtuma kufanya haya this game angechechezesha Antony Taylor I swear to God haya yasingetokea that's why hawapewi chance ya kuchezesha final cups in the worldThis is madness, nilidhani yameisha kumbe bado
Fuc***Hakuna fixing Mzee...hapa kuna match fixing aisee
I told you guys refa kanunuliwa na amefanya fixing huyu amepangwa ok alrightthat's the fuckin truth guys
Holding alikuwa hajatutulia. Kocha alipaswa kumwita na kuongea naye.Haya nilichokisema hicho Hapo, tayari kadi nyekundu kwa makosa ya kipumbavu kabisa.
Na wasipobadilika wanakula nyekundu nyingine.Huyu Holding hua sawa na Xhaka hua akili zao ni ndogo sana
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Bro mimi huwa naongeaga ukweli panakosewa but today hapana inauma sana refa huyu akifanyiwa investigation kuna kitu watakionaHakuna fixing Mzee...
Arsenal must win matches huwa ni ngumu ku win.
#Fatilia
Kamnyanyasa Son mara 2 ya 3 kapewa njano hakusikia hii ya nne kampiga kipepsi. Jinga huyoHolding alikuwa hajatutulia. Kocha alipaswa kumwita na kuongea naye.



...mkikaa vibaya hata hyo #4 spurs anawatoa