Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Tokea mpira unaanza anamchezea rafu za kipumbavu Son lakini refa anamkaushia.Holding alikuwa hajatutulia. Kocha alipaswa kumwita na kuongea naye.
Hii mechi Spurs wanawagonga goli tano, na Kane anaondoka na mpira.