Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe kenge wa darajan, unataka tusajiri mchezaji Kama Lukaku anayevuja jasho jaba zima
Nyie arse8 kweli hamnazo, usajili wa kulipa kwa mafungu wa pepekalee umewaletea manufaa gani?
Lukaku anapata namba kabisa apo kwenu nyie matakataka. Sasa uyo mchezaji wenu wa pound 80M ata Norwich apati namba.

Ivi ela ya pepe mumemaliza kulipa?
 
Nyie arse8 kweli hamnazo, usajili wa kulipa kwa mafungu wa pepekalee umewaletea manufaa gani?
Lukaku anapata namba kabisa apo kwenu nyie matakataka. Sasa uyo mchezaji wenu wa pound 80M ata Norwich apati namba.

Ivi ela ya pepe mumemaliza kulipa?
Upo ktk siku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
🚨 || The stories of Gabriel Jesus leaving City and joining Arsenal, are true, the talks are really happening [Via - @AndreHernan].
Ben Jacobs anadhani hii signing ni unlikely maana jamaa amekuwa katika form nzuri lately na City watataka abaki City.
 
Tieleman akija anatakiwa abadilike , maana without ball yupo ovyo, ninachompendea Ni mtu wa forward pass , ana shot , technically yupo vzr, tatizo lake Ni Hilo tu, Kuna mech unahitaji kuwa compact
Hivi ni vitu vinarekebishika akitilia maanani maelekezo ya mwalimu.
 
Yea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.

Ana forward runs na pasi nzuri katika hili namkumbuka Renato. Ukiacha Partey bado hatuna kiungo anayeweza kuzurura kiwanja kizima rumours za Camavinga zilinifurahisha ila ndo vile
Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)
Renato sanchez, hizi zilikuwa options bora zaidi

Ila kukosa hao ni afadhali kumpata tielemans kuliko kubaki na xhaka uwanjani.
 
Madder mtu sana sema ile Bei hapana aisee

Mm naona bado tunamuhitaji madder,

Sema wachambuz wa bongo wapo too negative sana, Mtu Kama Tomiyasu alipondwa sana
Kuna kipindi alionesha onesha, ila Waingereza huwa siwaaminj[emoji23][emoji1787]
 
Hiyo mechi ya Alhamis dhidi ya spurs tukishinda basi kila kitu kinakua kimeisha, hakuna atakayeshinda kutufikia hapo kwa walio chini.

Its the reason wanasema Arsenal tutaenda kujitangazia nafasi ya cl kwa mtani wa jadi spurs ikiwa tutamfunga
Nahisi ile arsenal ya kina Thierry Henry iliwahi kutokea hii.
 
Arteta on this incident:

Probably when you see that he has an empty net in front of him and he is taking a touch backwards we could not really understand. But you have to have the perception of the player in that moment, they are the ones who make the decision.


Arteta: Fortunately we didn't need that goal.

View attachment 2218068
Huyu hayupo sawa kiakili kwa sasa, huu mpira alikuwa anadrible huku macho yapo chini.
 
Tielemans yuko vizuri defensively? Au atakuwa anawaachia jukumu hilo tom na tomi? Uzuri wa hii ni kupata option ya kurudisha mpira kidogo nyuma kwa tielemans au partey mpinzani akipaki basi. Kama atakuwa na maamuzi ya chap na uwezo wa chenga za kasi atakuwa anaweza kudrive na mpira na kushoot au kupenyeza pass, kitu ambacho wakati mwingine xhaka anapata taabu akibanwa na maadui
Sio anapata tabu ni HAWEZI KABISA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom