Jidanganyeni tu, Spurs ilipofikia sasa ni habari nyingine, muulizeni liverfool anaujua mziki wake vizuri sana.
Mechi mlizobakiza ni Spurs, Newcastle na Everton vyote hivyo ni visiki vya mpingo hapo mkijitahidi zaidi ya uwezo wenu mtaambulia point 3 ila sanasana hapo naona mna point 1 tu.
Spurs mechi alobakiza ni Vs Arsenal, Burnley na Norwich, hapo amekosa sana ana point 7 baada ya kudraw na nyinyi lakini kuna uwezekano mkubwa akaondoka na point zote 9.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi ng'ombe za Emirates kucheza Uefa ni baada ya miaka 10 mbele huko.