Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,908
- 1,721
Ata mimi na amini ivo kuna vtu makocha wote wanaviona nadhan kwakeXhaka anatimiza majukumu yake kipindi hichi.
Anajithidi mno ukizingatia mid iliyopo.
At one point Henderson alionekana hafai Liver. Lakini ameletewa watu na falsafa imebadilika imefanya aonekane bila yeye liva haishindi.
Nina uhakika Xhaka bado tunaye sana.