Fundi Mgumu
Member
- May 7, 2022
- 92
- 53
😂😂😂How?Sasa si ukavune hizo pesa na hao wenzako laki tano
😂😂😂How?Sasa si ukavune hizo pesa na hao wenzako laki tano
Arteta nimesikia anataka Senior players 22 , ukiangalia tunahitaji strikers 2 ,Viungo wawili, hawa wanne wanatakiwa kuwa versatile players karibu watatu,CEO alisema tulipo sasa hivi sipo bodi ilipotarajia tungekua, waliwish tuwe kwenye nafasi ya 5 au 6, kikosi chini ya Arteta kimeenda extra mile.
This means bodi inatakiwa ikae chini na kutathmini ikiwa kikosi kilichopo kinatosha kucheza CL. Mimi naona hiki kikosi hakitoshi kucheza EPL, Carabao na FA hivyo kukipa na mzigo wa CL ni kushuhudia aibu.
Kwakua haiwezekani kununua wachezaji 10 ghafla hii inamaanisha usajili wa kutanua kikosi utaanza taratibu, hii ni kusema kwamba documentary ya 'All or Nothing' itakua moto lakini tusiwe na matumaini ya kua dominant mwakani.
Pengine kuanzia msimu wa 24/25 tunaweza pambania CL kwa nguvu zote but what do I know? Arteta anajua zaidi
Tunahitaji ST, Martinez yupo sokoni nafikiri ukimuachilia Jesus, tunahitaji viungo, winga na fullbacks.Arteta nimesikia anataka Senior players 22 , ukiangalia tunahitaji strikers 2 ,Viungo wawili, hawa wanne wanatakiwa kuwa versatile players karibu watatu,
Hii huongeza ukubwa wa kikos na sio namba ya wachezaji
Kwa kikos chetu, tunahitaji wachezaji wazoefu au wazuri wanne , na backup labda moja kwa LB,
Hector Bellerin - Real BetisTunahitaji ST, Martinez yupo sokoni nafikiri ukimuachilia Jesus, tunahitaji viungo, winga na fullbacks.
Niles anarudi, Nelson anarudi, Guendouz, Torreira na Saliba wanarudi.
Tunawish watu waje lakini wakija kuna chances waliotufikisha hapo wakapigwa chini wakina Cedric, Elneny n.k.
Kama ameona anahitaji 22 players basi ni vyema sasa tumsikie Kroenke na ngonjera zake.
Kwa outfield players Nafikiri Bellerin na Mavropanos hawarudi. Mavropanos Stuttgart wameonyesha kumtaka tangu msimu uliopita na Bellerin kafall in love na Betis. Torreira anaweza baki Fiorentina.Hector Bellerin - Real Betis
Lucas Torreira - Fiorentina
Runar Alex Runarsson - Leuven
Reiss Nelson - Feyenoord
Konstantinos Mavropanos - Stuttgart
Matteo Guendouzi - Marseille
William Saliba - Marseille
Folarin Balogun - Middlesbrough
sijafuatilia kwa karibu kujua viwango vyao kwa sasa
Wewe jamaa....daahNdio maana nikakwambia timu lenu linatambulika kama Academy sport club.
Huwa mnapewa hawa watoto muwakuze halafu wakishakomaa wanasajiliwa kwenye football club.
Ulaya nzima inaitambua Arsenal kama mlezi wa wana, nyie ni mama zetu tunawasifu kwa malezi bora ila mtoto akishakua mkubwa hana budi kumuacha mama na kwenda kutafuta maisha.
Mama ni mama tunawasifu kwa kua nyinyi ni mama bora.
Guendoz,Toreira,Ngumu kurud Hata Niles,bellerin,Nelson sion wakirud,Arteta aliwafukuza kwa staili hiyoTunahitaji ST, Martinez yupo sokoni nafikiri ukimuachilia Jesus, tunahitaji viungo, winga na fullbacks.
Niles anarudi, Nelson anarudi, Guendouz, Torreira na Saliba wanarudi.
Tunawish watu waje lakini wakija kuna chances waliotufikisha hapo wakapigwa chini wakina Cedric, Elneny n.k.
Kama ameona anahitaji 22 players basi ni vyema sasa tumsikie Kroenke na ngonjera zake.
Tielemans ni sahihi kwetu lakini? Hakuna mkali zaidi yake kwa bei yake au chini zaidi? Atacover namba ya ODE?Guendoz,Toreira,Ngumu kurud Hata Niles,bellerin,Nelson sion wakirud,Arteta aliwafukuza kwa staili hiyo
Mwenye nafas ya kurud labda Saliba
Leo taarifa zimetoka Elneny atapewa mkataba ,amekuwa akitusaidia nyakat Ngumu,lakin pia Dili la Tieleman limefikia pazuri
Tielemans ni kama Maddison kwa ninavyowaona, siyo mbaya ila hawezi kua reliable unless astep up.Tielemana ni sahihi kwetu lakini? Hakuna mkali zaidi yake kwa bei yake au chini zaidi? Atacover namba ya ODE?
Elneny alisema akiambiwa abaki anabaki. Sioni tukishindwanaKUTOKA KWA DAVID ORNSTEIN
🚨 EXCL: Arsenal have opened talks over a new contract for Mohamed Elneny. Current terms ending but club value 29yo & want him to stay. Meanwhile #AFC decision makers all keen to sign Youri Tielemans + agent dialogue encouraging so far @TheAthleticUK #LCFC
Huwez kuwataja Viungo wazuri epl ukamuacha TielemanTielemana ni sahihi kwetu lakini? Hakuna mkali zaidi yake kwa bei yake au chini zaidi? Atacover namba ya ODE?
Alisema yupo Tayar hata kukaa bench,Elneny alisema akiambiwa abaki anabaki. Sioni tukishindwana
Tieleman akija anatakiwa abadilike , maana without ball yupo ovyo, ninachompendea Ni mtu wa forward pass , ana shot , technically yupo vzr, tatizo lake Ni Hilo tu, Kuna mech unahitaji kuwa compactTielemans ni kama Maddison kwa ninavyowaona, siyo mbaya ila hawezi kua reliable unless astep up.
Huyu inaelekea ni shabiki wa The Gunners aliye na furaha kwamba amepata bahati ya kutuchezea pia. Kama Carl Jenkinson hivi.Alisema yupo Tayar hata kukaa bench,
So Arteta atakuwa ameshaliona hilo na anajua atalisolve vipi in the long run. Unadhani ataweza kumbadilisha awe mzuri off the ball?Tieleman akija anatakiwa abadilike , maana without ball yupo ovyo, ninachompendea Ni mtu wa forward pass , ana shot , technically yupo vzr, tatizo lake Ni Hilo tu, Kuna mech unahitaji kuwa compact
Huyu jamaa nampenda sana hanaga maneno mengi, mpige bench ataisapoti timu, mtoe mkopo ataisapoti timu,Huyu inaelekea ni shabiki wa The Gunners aliye na furaha kwamba amepata bahati ya kutuchezea pia. Kama Carl Jenkinson hivi.
Yea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.Tieleman akija anatakiwa abadilike , maana without ball yupo ovyo, ninachompendea Ni mtu wa forward pass , ana shot , technically yupo vzr, tatizo lake Ni Hilo tu, Kuna mech unahitaji kuwa compact