Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Msimu huu ka drop, last season kafunga sana ,kawapiga man u,arsenal ,Chelsea magoli ya mbaliYea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.
Ana forward runs na pasi nzuri katika hili namkumbuka Renato. Ukiacha Partey bado hatuna kiungo anayeweza kuzurura kiwanja kizima rumours za Camavinga zilinifurahisha ila ndo vile
Ninachoomba Xhaka abaki ,angalau tuwe na bench zuri