Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wako mguu sawa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 25 kama 'the Gunners watashindwa kufuzu michuano ya Ulaya.
Aje tu tunaitaji rotation kwa wachezaji wetu tena wawe kwenye kiwango bora wote

#afc
baada ya miaka kadhaa akafanya matusi na intermilan.