Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
❗️Talks are underway regarding the transfer of Gabriel Jesus to Arsenal. The player will leave City after Halland's arrival. [@andrehernan]
Yupo badoVipi nafasi ya xhaka
thanks. Daah, nilifikiri bado zipo.Mkuu hamna qualifiers siku hizi
thanks mkuu. Naona nawaza kizamani hahaha. Wiki zote hizi nawaza ole wake arteta tumalize 4th na apigwe kwenye qualifiers. Kumbe siku hizi 4th ni makundi moja kwa moja. Bien kabisa. Thursday tunamaliza kaziHuo utaratibu ulibadilishwa 2018.
Siku hizi ukimaliza namba nne hauna haja ya kucheza qualifiers.
Unless kama walibadili tena
Atafutwe Adrien Rabiot aje hapo. Mid itakua imetiwa nati na inatembeaTukimpata Tielemans ambaye ni LCM pamoja na Jesus, so from 4-3-3 tutashambulia kwa 2-3-5.
(white& Gabriel)
(Tomiyasu/ partey/ Tielemans)
(Tierney/Martinelli/Jesus/Odegaard/Saka)
Unaona namna tutavyopasua watu?
Tielemans yuko vizuri defensively? Au atakuwa anawaachia jukumu hilo tom na tomi? Uzuri wa hii ni kupata option ya kurudisha mpira kidogo nyuma kwa tielemans au partey mpinzani akipaki basi. Kama atakuwa na maamuzi ya chap na uwezo wa chenga za kasi atakuwa anaweza kudrive na mpira na kushoot au kupenyeza pass, kitu ambacho wakati mwingine xhaka anapata taabu akibanwa na maaduiTukimpata Tielemans ambaye ni LCM pamoja na Jesus, so from 4-3-3 tutashambulia kwa 2-3-5.
(white& Gabriel)
(Tomiyasu/ partey/ Tielemans)
(Tierney/Martinelli/Jesus/Odegaard/Saka)
Unaona namna tutavyopasua watu?
Tielemans anakuja kuwa "our Thiago alcantara" on ball duties. Kwa bahati mbaya inaonekana analack running power without the ball. So hoja inaonekana Arsenal atakuwa exposed kwenye transitions through the left half space coz Tielemans anacheza LCM. Ila in tactical perspective, Arteta anatumia inverted fullbacks, so wanaprovide compactness kwenye midfield block kitu ambacho kinaleta urahisi kudefend any type of transition whether it's long transition/ carrying transition kuficha udhaifu wa LCM.Tielemans yuko vizuri defensively? Au atakuwa anawaachia jukumu hilo tom na tomi? Uzuri wa hii ni kupata option ya kurudisha mpira kidogo nyuma kwa tielemans au partey mpinzani akipaki basi. Kama atakuwa na maamuzi ya chap na uwezo wa chenga za kasi atakuwa anaweza kudrive na mpira na kushoot au kupenyeza pass, kitu ambacho wakati mwingine xhaka anapata taabu akibanwa na maadui
Kama martinelli anacheza kama left sided striker au winger hiyo itamsaidiaTielemans anakuja kuwa "our Thiago alcantara" on ball duties. Kwa bahati mbaya inaonekana analack running power without the ball. So hoja inaonekana Arsenal atakuwa exposed kwenye transitions through the left half space coz Tielemans anacheza LCM. Ila in tactical perspective, Arteta anatumia inverted fullbacks, so wanaprovide compactness kwenye midfield block kitu ambacho kinaleta urahisi kudefend any type of transition whether it's long transition/ carrying transition kuficha udhaifu wa LCM.
In my opinion, Tiba ya kudefend transition nadhani ni kuwa bora kucounterpress when play breaks down, so unahitaji high intensity within your blocks.
Hata tukimaliza nafasi ya nne,Tutaishia kwenye makundi UCL na kurudi Europa league.Mkishinda au kudroo itakuwa nafuu kwenu ila mkiruhusu mkafungwa, ita complicate hiyo nafasi ya nne
Kwahiyo Bora tusimalize nafasi ya 4?Hata tukimaliza nafasi ya nne,Tutaishia kwenye makundi UCL na kurudi Europa league.
Safari imeiva huyo au Sterling
Hivi nyie takataka hili timu lenu Iina ujasiri wa kuingia sokoni kununua wachezaji wenye uwezo mkubwa Kama wa Chelsea, Liverkuku..!?
#CFC💙💙💙
Wewe kenge wa darajan, unataka tusajiri mchezaji Kama Lukaku anayevuja jasho jaba zimaHivi nyie takataka hili timu lenu Iina ujasiri wa kuingia sokoni kununua wachezaji wenye uwezo mkubwa Kama wa Chelsea, Liverkuku..!?
#CFC💙💙💙