makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,744
- 103,668
Huyu kuna kipindi tulimtaka kipindi kashindwana na PSGAtafutwe Adrien Rabiot aje hapo. Mid itakua imetiwa nati na inatembea
Huyu kuna kipindi tulimtaka kipindi kashindwana na PSGAtafutwe Adrien Rabiot aje hapo. Mid itakua imetiwa nati na inatembea
Sio anapata tabu ni HAWEZI KABISA.Tielemans yuko vizuri defensively? Au atakuwa anawaachia jukumu hilo tom na tomi? Uzuri wa hii ni kupata option ya kurudisha mpira kidogo nyuma kwa tielemans au partey mpinzani akipaki basi. Kama atakuwa na maamuzi ya chap na uwezo wa chenga za kasi atakuwa anaweza kudrive na mpira na kushoot au kupenyeza pass, kitu ambacho wakati mwingine xhaka anapata taabu akibanwa na maadui
Nafasi ya kucheza world cupNketiah kuiwakilisha Ghana...
Eddie Nketiah inasemekana ameamua kuiwakilisha timu ya Taifa ya Ghana badala ya England.
Xhaka anatimiza majukumu yake kipindi hichi.Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)
Renato sanchez, hizi zilikuwa options bora zaidi
Ila kukosa hao ni afadhali kumpata tielemans kuliko kubaki na xhaka uwanjani.
Ni bonge la mtu huyu.Huyu kuna kipindi tulimtaka kipindi kashindwana na PSG
Shida ya xhaka sio kutimiza majukumu yake tena haswa akiwa hana mpira hapa anajitahidi kiasi kikubwa, shida ya xhaka akiwa na mpira ikitokea kakabwa, hapo ndipo kwenye tabu, juzi lile goli la leeds alituchoma, alisababisha kona buure.Xhaka anatimiza majukumu yake kipindi hichi.
Anajithidi mno ukizingatia mid iliyopo.
At one point Henderson alionekana hafai Liver. Lakini ameletewa watu na falsafa imebadilika imefanya aonekane bila yeye liva haishindi.
Nina uhakika Xhaka bado tunaye sana.
Nadhani ni kipindi cha wenger kama sikosei alimtaka kipindi ana miaka kama sio 17 ni 19.Ni bonge la mtu huyu.
Yaani anasuffer, ana skills, ana vision ya pasi na accuracy na ukikutana naye unamuachia mpira.
Nikifananisha na msimu uliopita timu inajitahidi.Shida ya xhaka sio kutimiza majukumu yake tena haswa akiwa hana mpira hapa anajitahidi kiasi kikubwa, shida ya xhaka akiwa na mpira ikitokea kakabwa, hapo ndipo kwenye tabu, juzi lile goli la leeds alituchoma, alisababisha kona buure.
hii ishu huwa inaboa sana mkuuuNikifananisha na msimu uliopita timu inajitahidi.
Nilikua nasemea sana tabia ya mtu anapata mpira anaganda, anarudisha nyuma, wa nyuma anapeleka pembeni, wa pembeni anaurudisha kati, kati ni Xhaka unamuona anapata kigugumizi mara mpira kapokonywa.
Na hili tatizo lilikua hadi kwa forwards zetu. Mtu anapata mpira unashangaa timu haijui cha kufanya. Msimu huu hilo tatizo limepungua, Xhaka naye anajirekebisha.
Cheki hii mbuzi jike imetoka kukeketwa Sasa inaandika ushuzi wake😂😂😂😂
Chief hivi unamuona Xhaka mbovu sana kwamba hafai kucheza Arsenal au hupendi tu? Mimi nadhani tunatakiwa kuongeza ukubwa wa kikosi ili hata kunapotokea majeruhi au suspension tusiwe na mhaho. Kuna wa kuondoka ila Xhaka ni muhimu sana kwenye kikosi chetu na siku akiondoka tutamkumbuka sana. Mkuu mechi zote ambazo hatukutegemea kupata matokeo Xhaka alifanya maajabu kwa kuwa na performance ya juu. Mwisho lbd nikuulize ni lini Xhaka amewahi kuwekwa bench tangu alivyosajiliwa??Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)
Renato sanchez, hizi zilikuwa options bora zaidi
Ila kukosa hao ni afadhali kumpata tielemans kuliko kubaki na xhaka uwanjani.
Xhaka sio mnyumbulifu tu ila vitu vingine yuko vzr sana nadhani hata viungo watakaoletwa kushindania nafasi na Xhaka inabidi wajitume sana vinginevyo wataendelea kusubiliXhaka anatimiza majukumu yake kipindi hichi.
Anajithidi mno ukizingatia mid iliyopo.
At one point Henderson alionekana hafai Liver. Lakini ameletewa watu na falsafa imebadilika imefanya aonekane bila yeye liva haishindi.
Nina uhakika Xhaka bado tunaye sana.
Sikusema xhaka aondoke, hata akiwa mtu wa benchi, kuna vitu fulani anakosa huwa vinatugharimu.Chief hivi unamuona Xhaka mbovu sana kwamba hafai kucheza Arsenal au hupendi tu? Mimi nadhani tunatakiwa kuongeza ukubwa wa kikosi ili hata kunapotokea majeruhi au suspension tusiwe na mhaho. Kuna wa kuondoka ila Xhaka ni muhimu sana kwenye kikosi chetu na siku akiondoka tutamkumbuka sana. Mkuu mechi zote ambazo hatukutegemea kupata matokeo Xhaka alifanya maajabu kwa kuwa na performance ya juu. Mwisho lbd nikuulize ni lini Xhaka amewahi kuwekwa bench tangu alivyosajiliwa??
Ukubwa wa Chelsea uko kwenye nini? Timu kubwa England ni tatu tu; Man u, Liver na Arsenal. Wengine bado wanakuwaYani ii timu bana hahahaeti na nyie munawaza kumaliza top four .. halafu saiv munajadili usajili hahaha ivi nyie arse8 mumefikia atua ya kusajili wachezaji wenye ile Hali ya kuleta makombe kwenye ka klabu kenu aka hahaha
Ninyi timu yenu siyo yaa level hiyo ..nyie endeleeni kununua vile vichezaji vya pound million nane Saba uko ndio uwezo wenu. Iv viushindi viwili vitatu visiwape kiburi na kujiona Sasa msimu ujao ni wenu hahaha ..nyie bado ni level za Akina Spurs uko au West Ham vile ..adi muje murudi ile enzi za Akina Cambiaso, Henry, ni mwaka 2030 uko ..kwa Sasa neendeni taratibu musiwe na haraka maana mutapigwa sokoni.
Majayant Kama sisi tushazoea kupigwa maana tunajua ni wap tutasolve Mambo yakae sawa.
Manure pamoja na ubovu wake wote bado ni timu kubwa Sana Mara kumi na nane ya hii arse8
Ila nyie upcoming musiwe na papara mf eti munamtaka Jesuse hahaha maake apo kwanza ncheeke![]()
Hahaha hii arse8 inatakiwa ireplaciwe na Nu casto. Kwenye timu kubwa kwa Sasa kuiweka hii arse8 ni kujitafutia lawama kwa washabikiUkubwa wa Chelsea uko kwenye nini? Timu kubwa England ni tatu tu; Man u, Liver na Arsenal. Wengine bado wanakuwa
Leeds United boss Jesse Marsch:Hahaha hii arse8 inatakiwa ireplaciwe na Nu casto. Kwenye timu kubwa kwa Sasa kuiweka hii arse8 ni kujitafutia lawama kwa washabiki