Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie mbona mnakata tamaa mapema hivyo jamani!! Mimi nilikuja kuwapa support, mwanikatisha tamaa...!!!

Basi ngoja tungangamare labda unaweza kutuletea bahati hizi dakika za lala salama LOL!
 
almunia leo kawatoa watani maana duh ingekuwa kapu la magoli...
 
Ooh The Gunners mchawi leo nani?refa?..poleni sana wapinzani wa jadi!!...yani nilishinda kwa hii thread tangia mornie!!...
Acha nikapate Paella ya waspanish mana ingedoda!!..Easy guys ndio kandanda🙂)))

marefa kama kawaidia yao , wanatuandama mpaka uefa lol.
 
tatizo na Gadafi nae anaelekea kushindwa....kesho naenda zangu Loliondo.....unalo Shosti,mwanao wiki nzima kanuna!!:mullet:

Pole bibie,umewaona Barca eeh eniwei tusubiri mpira uishe kabisaa...Hiyo Loliondo kunani?
Leo nadhani hutalala, fantasies za hii mechi zitakuzingira!!..
 
mzee gianluca vialli aliwahi kusema "10 men against 11 is out of soccer excuse" .....mwisho wa kunukuu. mimi naona tuwapeni pole ze goonerz tu. tuonane mwakani

Kabisa mkuu tuwaambie kwa heri mpaka mwakani sio mwaka huu tena....poleni sana gunners....
 
Pole bibie,umewaona Barca eeh eniwei tusubiri mpira uishe kabisaa...Hiyo Loliondo kunani?
Leo nadhani hutalala, fantasies za hii mechi zitakuzingira!!..

mimi siwezi kosa usingizi Belinda.....nilishakubali matokeo hata kabla ya mechi....at least tumefungwa na BARCA na si bwawa la maini kama nyie

Loliondo naenda kutembea....kuna babu yangu mzaa bibi kkule....l.o.l
 
asee hawa barca siwaoni wakichukua hili kombe mwaka huu... they are so predictable aisee
 
Mpira umekwisha zimebaki dakika 3 tu...daaa poleni sana wakuu.....
 
Well....Tumetolewa,all I can say is pamoja na kuzidiwa mchezo lakini refa kaharibu mchezo kwa kumpa RVP red kwa kosa la kupiga mpira a second after the whistle,kutoka kwa RVP kumetumaliza maana tushaanza kurudi kwenye msitari....This was unafair kabisa.....Na tatizo lingine ambalo daima naliongea ni AW kupenda kujitakia kufungwa kwa kuendelea kumbeba Abou Diaby mchezaji ambaye daima yu legelege badala ya kumuanzisha Denilson..........Na Almunia auzwe haraka sana

Otherwise hongereni sana 'mashabiki' wote wa Barca akina Manda,Papizo et al.......Na pia shukrani kwa Eqlypz na MTM kwa kuwa pamoja nasi na kututia moyo katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.....Tumekufa kiume though

Poleni sana the gunners wenzangu akina Mbu,AW,Baba Mkubwa,my Michelle,Quest,Richard,Ng'wanza Madaso,Next Level,Consultant na wengine wote....Tujipange kwa msimu ujao wa UEFA.....

Mbarikiwe sana
 
yeah, mwakani

@ Michelle... pole sweetheart, refarii kaharibu mechi ya mwaka

asante sana sweetheart....ulivyoniita hivyo umenimalizia maumivu kabisaaa....huyu refa nitamtafuta.....watch me!!
 
mimi siwezi kosa usingizi Belinda.....nilishakubali matokeo hata kabla ya mechi....at least tumefungwa na BARCA na si bwawa la maini kama nyie

Loliondo naenda kutembea....kuna babu yangu mzaa bibi kkule....l.o.l

Yani Michelle ulikuwa umeshawaza kufungwa kabla ya mechi wakati ulikuwa unajiamini leo mngeshinda?kumbe ilikuwa shingo upande eeh...bwana eeh, uefa nyie hamfikagi mbali!..
Huwezi jua labda sie Barca tunaweza kuwatungua, mpira bwana achana nao..si uliona Wolves walivyotutia akili?!!!
 
Back
Top Bottom