gharama zako za wiki hii zote nitasimamia mimi. wewe na keren happuch ,sawa?bundi karudi jamani.....sasa nimeamini kisicho riziki........!!!
bundi karudi jamani.....sasa nimeamini kisicho riziki........!!!
pole but the whole game has been ruined by ref alivyomtoa van persie kwa kupiga mpira just a second after a whistlekazi kwisha sasa.
La ngapi hilo????bado 1 kama nilivyosema....ila mnaweza kutoka na goli la away.....
Dah! Huwezi kuiacha team ikajenga kibanda katika goli lenu kwa muda mrefu bila kuwa na athari
It is over!:angry:
Damn, damn.. we will be back