Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Bye mamiii
wewe si nilifunga safari kuja kukupa pole iweje leo mwenzangu uniage hivyo??
siondoki....:mullet:
Bye mamiii
Until next UEFA.... I say bye bye!!!
</p><b><font size="4"><font color="darkred">Duh! jamaaa wanabebwa haya tuendelee .... ...</font></font></b>
we shosti we, lugha gani hiyo ya kitanda jamanida refa katu..ra kwelikweli ngoja nimwangalie Ghadhafi mie hamu imeisha:hand:
Michelle usikimbie bado tuna chance hapa
tatizo na Gadafi nae anaelekea kushindwa....kesho naenda zangu Loliondo.....unalo Shosti,mwanao wiki nzima kanuna!!:mullet:
Michelle bado unahitajika katika EPL na mashindano mengine ambayo bado tumo.
hakimbii mtu hapa mkuu.....niliwapoteza wazamiaji.....am here to stay....kwani tumeanza fungwa leo?? :A S 13:
kule mtabeba tu mkuu, ile manu yenyewe iko mahututi kama nccr mageuziNaona sasa nguvu zipelekwe premier league.
we shosti we, lugha gani hiyo ya kitanda jamani
Nyie mbona mnakata tamaa mapema hivyo jamani!! Mimi nilikuja kuwapa support, mwanikatisha tamaa...!!!