Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

So @ChrisWheatley_

reckons Arsenal are looking to give a new contract to William Saliba.

He'll return to Arsenal the most experienced 21 yr old centre-back in Europe.

What a great loan he's had.

Great news, not sure what all the hysterics last summer were all about.
 
Nyie mnaomkataa malghales, mmeona uzembe aliofanya VVD hadi kuruhusu goal? Badala ya kwenda haraka kuziba space, ye anakabia macho
Tuendelee kujifunza, itakua kuna vitu wanaviona ambavyo sisi hatuvion.
Lakn m nnavyojua bek yoyote anafanya makosa, kwahyo hatutumii makosa pekee kumrate mchezaj labda yawe ya mara kwa mara yanayo igharimu timu.

Kinacho nishangaza zaid kwenye hii mada n kuambiwa white n bora kuliko malghales, sijui Kama kipind cha martaseker nae walimwaona n bora kuliko koscienly? Maana nikiwalinganisha n karibu wanafanana ubora na madahifu isipokua kwenye speed white ame upgrade sana.

Pia malghales n vision kabsa ya koscienly( kaz kaz, bampa tu bampa) hawajamaa wanafanya kazi ngumu sana kusimama na forwad mjanja mjanja 1vs1 mwenye nguvu na kasi sio mchezo, luiz alikua anazalisha penalt na mared Kila siku.
White sawa anafanya kazi yake vzur lakn malghales ndio boss pale kama koscienly alivokua boss kipind chake

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Defending sio tu kuwin duels kama unavyodhani, kuna suala muhimu la management of spaces hii inaexert control nzima ya mchezo, good defender knows how to manage spaces, if gabriel knows how to manage spaces do you think why he gets lost in chaos of the game? Ukinijibu nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa kuelewa the real meaning of defending.
 
Kila beki anafanya makosa ila ikitokea makosa ni constant kama ya Maguire hapo unajihesabia hauna beki.

Pia Virgil ana tabia ya kutofanya sliding tackle badala yake anakusubiri kwenye njia ili afanye standing tackle ila kama mshambuliaji ni mzuri hua anamzengea zengea na kufanya last ditch sliding tackle.

Kwahiyo yeye alifikiri Lautaro ataendelea kua anao anao wakati anamsubiri njiani. Lautaro akashuti nje ya box.
Namalizia kwa kusema VVD ni beki mstaarabu/ msafi hapendi kuchafuka
 
Hivi hakuna Cazorla type kabisa amabye tunaweza kumpata kupiga hiyo kazi?
Kwa wachezaji wa sasa,yule ambae anafanana na cazorla walau 90% sijaona, ila tunaweza kupata midfielder mnyumbulifu dizaini ya kina cazorla.

Mie napenda saana mido mnyumbulifu, hata yule renato sanches anaweza kupiga kazi saafi kabisa akiwa na partey.
 
mchezaji aina ya dennis bergkamp angelileta taathira gani ya kiuchezaji kwa mpira wa kileo uliojaa mapinduzi ya kimbinu na majukumu kwa wachezaji?
Yule anacheza kwenye dunia yoyote, ingekuwa 70s, hata miaka 100 mbele,yule jamaa bado ana ubora wa kucheza,

Je uliwahi kumshuhudia akicheza kuanzia ujanani mwake au umemuona yule wa uzeeni 2000 na kitu huko?
 
nilianza kumuona kuanzia mwaka 2001, bado naikumbuka performance yake dhidi ya everton akiwa na miaka 35.
 
3 4 1 2 ya Inter na 2 akiwa yeye na Lukaku ilikua ni threat kwa wapinzani.

Lukaku aling'aa kwakua kulikua na mtu wa kucheza naye ambaye alikua Martinez, kwenye picha alionekana Lukaku pekee ila Martinez ana mchango mkubwa kwa vision, skills na pace yake.
Yeye lukaku mwenyewe anamkubali martinez
 
Tuendelee kujifunza, itakua kuna vitu wanaviona ambavyo sisi hatuvion.
Lakn m nnavyojua bek yoyote anafanya makosa, kwahyo hatutumii makosa pekee kumrate mchezaj labda yawe ya mara kwa mara yanayo igharimu timu.

Kinacho nishangaza zaid kwenye hii mada n kuambiwa white n bora kuliko malghales, sijui Kama kipind cha martaseker nae walimwaona n bora kuliko koscienly? Maana nikiwalinganisha n karibu wanafanana ubora na madahifu isipokua kwenye speed white ame upgrade sana.

Pia malghales n vision kabsa ya koscienly( kaz kaz, bampa tu bampa) hawajamaa wanafanya kazi ngumu sana kusimama na forwad mjanja mjanja 1vs1 mwenye nguvu na kasi sio mchezo, luiz alikua anazalisha penalt na mared Kila siku.
White sawa anafanya kazi yake vzur lakn malghales ndio boss pale kama koscienly alivokua boss kipind chake

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Kuna aina tofauti ya mabeki hasa mabeki wa kati kulingana na tabia zao za kiuchezaji.

Kuna wale mabeki wastaarabu/wasafi hawa jamaa mara nyingi wanatumia akili nyingi sana kwenye kukaba maana sio watu wa kugongana na kufanya tackling. Mfano wa hao ndo akina VVD, RIO, TERRY, FABIO CANNAVARO nk. Huku ndo utawakuta akina WHITE

Alafu kuna mabeki wa kuchafua hawa mara nyingi nguvu huwa nguvu inaendana sawa na akili na hawa wanatabia ya kufanya lolote ilimradi tu azuie mfano wa hawa ni RAMOS, CALVARIO, CARHIL nk na huku ndo utawakuta akina Gabriel. Hawa jamaa wanaanzaga utata mapema wanapokuta na Striker wasumbufu
 
Kwa wachezaji wa sasa,yule ambae anafanana na cazorla walau 90% sijaona, ila tunaweza kupata midfielder mnyumbulifu dizaini ya kina cazorla.

Mie napenda saana mido mnyumbulifu, hata yule renato sanches anaweza kupiga kazi saafi kabisa akiwa na partey.
Umecheki game ya jana ya Inter na Liva? Ile kazi aliyopiga Vidal ndiyo sababu haswa ya kumnasa Sanches
 
Harry Kane: “Conte is a fantastic coach. I feel like I’m in a great place - Antonio has definitely given me more strings to my bow”, he told Dan Kilpatrick. ️ #THFC

“I’m always someone who tries to improve. But for sure, I’m in a good place and we want to play Champions League”.

Kane wanataka kucheza UEFA,
Hapa inatakiwa tugawe dozi heavy mwanzo mwisho

Hakuna time ya kucheka na nyani
 
Albert Sambi Lokonga yupo kimya sana huyu kijana, Arsenal chini ya Mikel Arteta tuna Assets nyingi mno.
 
Kuna aina tofauti ya mabeki hasa mabeki wa kati kulingana na tabia zao za kiuchezaji.

Kuna wale mabeki wastaarabu/wasafi hawa jamaa mara nyingi wanatumia akili nyingi sana kwenye kukaba maana sio watu wa kugongana na kufanya tackling. Mfano wa hao ndo akina VVD, RIO, TERRY, FABIO CANNAVARO nk. Huku ndo utawakuta akina WHITE

Alafu kuna mabeki wa kuchafua hawa mara nyingi nguvu huwa nguvu inaendana sawa na akili na hawa wanatabia ya kufanya lolote ilimradi tu azuie mfano wa hawa ni RAMOS, CALVARIO, CARHIL nk na huku ndo utawakuta akina Gabriel. Hawa jamaa wanaanzaga utata mapema wanapokuta na Striker wasumbufu
Yah nmekupata, so we huko upande gan? White n bora kuliko Gabriel?

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Defending sio tu kuwin duels kama unavyodhani, kuna suala muhimu la management of spaces hii inaexert control nzima ya mchezo, good defender knows how to manage spaces, if gabriel knows how to manage spaces do you think why he gets lost in chaos of the game? Ukinijibu nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa kuelewa the real meaning of defending.
M kwangu bek mzuri n yule anaempa wakat mgumu foward asifanye maamuzi ya kudhuru,
ku manage space yah n big tool kwa bek kutimiza wajbu wake lakn sio pekee, vinahtajka vtu vingine vingi( toughness, exposure, utulivu, maamuz ya haraka na sahihii, nk)

Gabriel n kama anapotezaga concentration hv, unakuta maamuz aliyotakiwa kufanya sekunde 10 zilizopita ndo anafanya sahv akiwa teyar amesha chelewa,. Na wakat mwingine pia hanakosa utulivu lakn hv n vitu vidogo tu vnarekebika maana unaweza kuta chanzo chake ata sio mambo ya ndan ya uwanja, na hata hivo hizo mistake zake znahesabka ukilinganisha na tuvitu alivyo tufaidisha unasema sio inshu, n bek mzur

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Albert Sambi Lokonga yupo kimya sana huyu kijana, Arsenal chini ya Mikel Arteta tuna Assets nyingi mno.
Alini vutia sana mwanzon nikadhan atatengeneza bonge la combo na partey sikuamin jinsi ilivyo goma, ingetiki nadhan tungekua bora mara kumi kuliko tulivyo sasa,. Xhaka anatu lostisha sana

Back
Top Bottom