sahau hilo ndugu, najua humkubali huyu mwamba, ila labda arteta aondoke, magalhaes ndio beki ambaye arteta alimleta kwa ajiri ya project, akatafutwa partner wake ambaye ni white
hata wengi wana propose ujio wa saliba aje atengeneze back 3 , ila sio kumtoa nje gabriel,
na sioni arteta akirudi kwenye back 3, tena sitashangaa arteta akamuongeza mkataba saliba , then akampiga bei, kumbuka ile sio sajiri yake, ilikuwa ya klabu , hata emery alisajiriwa tu.
uwezo aliouonesha magalhaes had sasa, ni ngumu kurudishwa benchi,