Plus ESR ambae hayupo.Kwangu napata confidence sana mpira ukiwa mguuni kwa Saka / Ø / Partey/ White.
Sure mkuu, ESR mtu sana mzee wa ball striking, huyu akiwa infront of the goal hakuachi salama.Plus ESR ambae hayupo.
Itakuwa virusi vimemzidi nguvuYule wa kuitwa ARV mbona haleti matokeo siku hizi?

Ongea wewe, mimi nishafunika hili suala, partey ni hatari mnoo, angekuwa na mtu wa kariba ya cazorla aisee arsenal hii ingekuwa unakunywa chai hutii sukari.Partey angekua muingereza angepata sifa sana.
Anarahisisha mno movement ya mpira pale kati.
Shida ya xhaka hanyumbuliki, midfilder huwezi kuwa mgumu kama unakula KOKOTO.Xhaka anatucost na atatucost kama ataendelea kuzalisha machungwa day in day out.
Tumeshinda kazi tumeimaliza ngoja tuwaone united.
Anapanda juu ila anachelewa kurudi. Hana pace siyo kosa lake kutokua nayo basi asiingie deep kiasi kwamba tukipigwa kaunta yeye anaonekana hawezi endana na kasi ya move.Shida ya xhaka hanyumbuliki, midfilder huwezi kuwa mgumu kama unakula KOKOTO.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
chelsea mbna hana uwezo wa kutusumbua sisiKwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
game zote ni ushindi tuNi must otherwise bado pia tuna Manchester United and West Ham ambao tunagombania nao top 4 haitakuwa game rahisi sasa hivi hizi team za chini Arsenal anatakiwa abebe 3 points but its not easy pia
atajua ajui cku iyo mbna we muache tuUliona ule mpira aliopigiwa man city!!!, sasa hivi tumezid ku-updates
Kipingamiz cha arsenal ni arsenal Mwenye. Ukikaa njiani lazima uliwe kichwa
Jana pia nimeona madhaifu ya Gabriel.Saliba will replace Gabriel magalhães.
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa nyumbu haoArsenal for now.View attachment 2141199
bahat mbya sanaaaaaaaKwa form yetu ya sasa labda liver ndo atatusumbua, wengine waliobak waktufunga n bahat mbaya,
hapo wa kutuumiza kichwa ni liverpool tu hao wengne tunapga vzur tuNext Games Leicester City Liverpool and Aston villa (point 6 au 7 )zitamtosha Arsenal kuwa nafasi ya kipekee kabisa kuwa Top 4 before games za viporo
Naona Arteta anajitahidi kwa kweli. Magoli yalikuwa enjoyable yaani kuanzia la Odegaard hadi la Martinelli. Kabla mabeki hawajaelewa kinachoendelea wanajikuta wanaokota mpira golini. Hii mimi napenda. Kuna mambo kwenye mechi yaliniudhi ila leo nipo katika kufurahia 3 points zaidi so sitakosoa yeyote wala chochote 😀😀 acha tule bata vijana wa asenali tumeteseka sana na kwa huyu Arteta hatuna uhakika kwamba mateso yameisha.Wapi HENRY14 ? Nadhani mkuu leo umeona zile One two za Artetaball mithili ya Wengerball, nimekutag sababu unasema mpira wake haukuvutii.