how?Chelsea anaweza kukatwa point 9 kama timu itawekwa chini ya 'administration'
Bro hv lilie group letu la WhatsApp bado lipo active? naomba link.It is possible that Gnabry is on the way out with a contract expiring in 2023. Arsenal could then sign his former player this summer. Moreover, in case of European qualification, the player would be considered as howegrown.
@Football_LDN
]
Mmiliki ni Roman.how?
Sio kweli unadanganyaMmiliki ni Roman.
Roman ni mrusi.
Assets zake zote zimezuiwa.
Miongoni mwa assets zake ni timu ya chelsea.
Hivyo haruhusiwi kuisimamia au kuiuza.
Itabidi chelsea iwe chini ya usimamizi.
Ikiwekwa chini ya usimamizi itabidi ikatwe point 9.
Na ikiuzwa ikiwa chini ya usimamizi basi Roman hatopata kitu kutoka kwenye mauzo hayo.
sababu ya kukatwa point 9 ?Mmiliki ni Roman.
Roman ni mrusi.
Assets zake zote zimezuiwa.
Miongoni mwa assets zake ni timu ya chelsea.
Hivyo haruhusiwi kuisimamia au kuiuza.
Itabidi chelsea iwe chini ya usimamizi.
Ikiwekwa chini ya usimamizi itabidi ikatwe point 9.
Na ikiuzwa ikiwa chini ya usimamizi basi Roman hatopata kitu kutoka kwenye mauzo hayo.
Nachojua mim ni kuwa roman hatopata chochte kwenye mauzo hayo mengne ndo nackia kwakoMmiliki ni Roman.
Roman ni mrusi.
Assets zake zote zimezuiwa.
Miongoni mwa assets zake ni timu ya chelsea.
Hivyo haruhusiwi kuisimamia au kuiuza.
Itabidi chelsea iwe chini ya usimamizi.
Ikiwekwa chini ya usimamizi itabidi ikatwe point 9.
Na ikiuzwa ikiwa chini ya usimamizi basi Roman hatopata kitu kutoka kwenye mauzo hayo.
Haya sawaNachojua mim ni kuwa roman hatopata chochte kwenye mauzo hayo mengne ndo nackia kwako
Mbona nimeandika hapo?sababu ya kukatwa point 9 ?
Ukweli ni upi mkuu?Sio kweli unadanganya
LIPO NDUGU,Bro hv lilie group letu la WhatsApp bado lipo active? naomba link.
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Chelsea ameshinda zaidi ya michezo 3 (Pointi 9) Pointi 9 zinazokatwa zitakuwa zipi, katika michezo ipi?
Sijaelewa swali lako.Chelsea ameshinda zaidi ya michezo 3 (Pointi 9) Pointi 9 zinazokatwa zitakuwa zipi, katika michezo ipi?
Acheni kuotaSijaelewa swali lako.
Derby County wamekatwa points msimu huu na sijajua kama ilichaguliwa michezo ambayo hizo points zilinyofolewa.
Kuna source inasema inawezekana wasikatwe msimu huu badala yake msimu ujao wataanza na -9.
Ndoto za mchana c ndioAcheni kuota
NdiyoNdoto za mchana c ndio
Acha usista du. Kama unaamua kuongea kitu ongea siyo unaleta dramaAcheni kuota