Wana majukumu tofauti ndo maana unaona comb yao imekubali. Gabriel ni STOPPER mkuu. Mimi nashauri kukiwa na argument humu ndani basi tuwe tunatumia hizo argument kuangalia gem kwa ku-assess kinachosemwa na wadau humu ndani then tunarudi tena hapa kuleta evidence ya ulichokiona.Yah nmekupata, so we huko upande gan? White n bora kuliko Gabriel?
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Mfano jpili tuna gem na Leicester hivyo tutumie hiyo gem ku-assess ubora na ubovu kulingana na tunavyopingana humu ndani.