Joao Felix unamuonaje, binafsi ni false #9 bora kuliko Lacca cuz technically anaquality za B.silva, hii Arsenal ya Arteta itakuja kuwa balaa kubwa mjini.baada ya game na leicester , itafahamika tu, ila arsenal yenye midfied ya xhaka partey ...na uwepo wa laca, timu yoyote duniani inakufa vzr tu, niliwahi kuandika makala mahala, kipind laca hapati nafasi, nilipoona strength ya xhaka partey, nikaamini ukimuongeza na laca anayerudi had dimba la kati na kufanya 3 midfielders , basi saka, smith, odegaard, au martinel watakufanya chochote wanachotaka, even uwe nani
tuliona city alivyokuja emirates, tumeona more than 10+ games wakiwepo hao watu watatu jinsi tunavyoondoka na matokeo. , tumeona pia alipokosekana xhaka, au partey au wote jinsi tunavyo struggle , rejea mwez january hapo,
hivo mech ya liverpool kwanza tuombe wote hawa watatu wawepo, then mengine yafuate,
binafs naona tuangalie aina nyingine ya striker, ni ngumu kumpata mtu kama laca, anayeweza kuwafanya kina saka ,smith kufunga, nita mmis sana laca, ile hold up ,link upJoao Felix unamuonaje, binafsi ni false #9 bora kuliko Lacca cuz technically anaquality za B.silva, hii Arsenal ya Arteta itakuja kuwa balaa kubwa mjini.
Haya amefunga sasa hivi namaliza soma comment yako nikuambie jinsi gani upo wrong ndiyo anascoreKama shabiki wa Arsenal huwa sijisikii raha nikiona Lautaro Martinez akihusishwa na usajili wetu wa dirisha kubwa.
Huwa sioni umuhimu wake akiwa uwanjani. Nimeanza kumuangalia muda mrefu sana tangu kile kipindi anatakiwa na Barcelona akitajwa kuwa na thamani ya paundi 90+ Milioni.
Nimemuangalia katika mechi ya kwanza dhidi ya Liverpool na leo namuangalia tena.
Hashawishi na wala havutii kuichezea timu yetu inayojijenga kwa sasa.
Hana quality ya straika wa mabao kwa vigezo alivyotaja Arteta.. ni bora tubaki na Laca wetu ambae anasaidia kupress, ku hold mipira, kuchezesha timu na pia kuanzisha mashambulizi.
Tutatumia gharama za bure kisha tukaishia kutukana tu. Straika gani hana pace, anashindwa kupunguza hata mtu mmoja, anachosubiri ni kuwekewa tu ili ashinde na siku hizi moto wake wa kupachika mabao umepungua sana.
Naongea yote haya kwa kuwa nmesikitishwa sana kwa kuona Arsenal wanahusishwa nae katika dirisha la usajili lijalo.
Martinez ana pace, skills, vision, shot power na finishing nzuri.Kama shabiki wa Arsenal huwa sijisikii raha nikiona Lautaro Martinez akihusishwa na usajili wetu wa dirisha kubwa.
Huwa sioni umuhimu wake akiwa uwanjani. Nimeanza kumuangalia muda mrefu sana tangu kile kipindi anatakiwa na Barcelona akitajwa kuwa na thamani ya paundi 90+ Milioni.
Nimemuangalia katika mechi ya kwanza dhidi ya Liverpool na leo namuangalia tena.
Hashawishi na wala havutii kuichezea timu yetu inayojijenga kwa sasa.
Hana quality ya straika wa mabao kwa vigezo alivyotaja Arteta.. ni bora tubaki na Laca wetu ambae anasaidia kupress, ku hold mipira, kuchezesha timu na pia kuanzisha mashambulizi.
Tutatumia gharama za bure kisha tukaishia kutukana tu. Straika gani hana pace, anashindwa kupunguza hata mtu mmoja, anachosubiri ni kuwekewa tu ili ashinde na siku hizi moto wake wa kupachika mabao umepungua sana.
Naongea yote haya kwa kuwa nmesikitishwa sana kwa kuona Arsenal wanahusishwa nae katika dirisha la usajili lijalo.
Kwahiyo kushinda kwake ndio kunanifanya niwe wrong?Haya amefunga sasa hivi namaliza soma comment yako nikuambie jinsi gani upo wrong ndiyo anascore
3 4 1 2 ya Inter na 2 akiwa yeye na Lukaku ilikua ni threat kwa wapinzani.Kwahiyo kushinda kwake ndio kunanifanya niwe wrong?
Kila beki anafanya makosa ila ikitokea makosa ni constant kama ya Maguire hapo unajihesabia hauna beki.Nyie mnaomkataa malghales, mmeona uzembe aliofanya VVD hadi kuruhusu goal? Badala ya kwenda haraka kuziba space, ye anakabia macho
Sio kama anakabia macho, ile ni kudefend spaces through body orientation, na pale alikuwa anadefend space mbili at the same time, hakuna silly mistakes za Gabriel pale, wewe ulitaka aswitch target sababu unatumia common sense kuchambua, ila mpira ni mchezo wa watu kumi na moja so kuswitch target structurally lingekuwa ni kosa la kiufundi. Alichofanya ni kuwa patient ili kuorganize compactness in defensive transion.Nyie mnaomkataa malghales, mmeona uzembe aliofanya VVD hadi kuruhusu goal? Badala ya kwenda haraka kuziba space, ye anakabia macho
haya mawazo ni kama umeyatoa kichwani mwangu, sijawahi kumuamini hata kidogo, hata kwenye top list ya strikers tunaowataka sion kama ni kipaumbele,Kama shabiki wa Arsenal huwa sijisikii raha nikiona Lautaro Martinez akihusishwa na usajili wetu wa dirisha kubwa.