simple tu,hayo majukumu sio ya gab, kwa structure ya arteta, ndio sababu ya arteta kutoa paun mil 50 ili kumpata ball playing CB, majukumu ya gab hata profile zake tofauti na white, labda kama unataka tucheze na CB wawili wenye profile moja, buildup ya arsenal huwa inamuacha tierny kama free , ni 3 CB Na kipa, hapa kuna tomiyasu/cedric, white,na gab, tierne anasogea juu kidogo, gab mipira yake yote ni either kwa rams,tierney akibanwa kupeleka kwa partey anayekuwa karibu na Cbs, mwenye majukumu ya ku break low blocks, kusogea na mipira hata kwenye mid ni white, hiyo ni structure ya arteta ipo hivo ,
huwez kulazimisha hiyo shughuli aifanye Cb,gab.... labda ubadili mfumo, na ukumbuke wachezsji ndio hutengeneza mfumo kutokana na profile zao