Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tierney on who of his team mates has outrageous tekkers:

"I'd say Pepe all day. I play against him every day and it's a horrible experience. He's good."

Rob Holding: "Yeah it's not nice. I wouldn't want to play against him every day, one v ones against Pepe every day..." [Arsenal's The Chat]
1646346484944.png

Enzi za unai emery hizi , mechi za away ilikuwa hata na timu ndogo lazima tutolewe mkukumkuku... hapo tuliongoza 2-0 ,lakini cha moto tulikipata,hadi mwisho ngoma 2-2

ilikuwa lazima tuzidiwe umiliki wa mpira, tupigiwe shots za kutosha...

weekend hii tunaenda kukuta na watford , je utabiri wako ukoje?

1646346927734.png
 
The last time Arsenal went to Watford at Vicarage Road,Unai Emery's men faced a record 31 shots on goal,throwing away a 2 goal lead.

record in a single game in the Premier League.
 
UNAI EMERY MOJA YA KOCHA MBOVU KUPITA ARSENAL

Ni msimu wa 2018-2019 akiwa ameingia fainal EUROPA LEAGUE, na Ndani ya epl akiwa amebakiza mechi 4 sawa na point 12, alihitajika kushinda mchezo mmoja tu, yaani point 3 ,timu iingie top 4, hizo mechi 4 hakuna hata moja dhidi ya top 6, cha ajabu akakosa point 3 out of 12, akaenda fainal kwa perfomance mbovu kabisa na kuchapwa 4-1

kuna mchambuzi leo nimemsikia akidai Toka wenger aondoke arsenal hakuna msimu arsenal amepata nafasi ya kuingia top 4 kirahisi msimu huu, nadhani amepoteza kumbukumbu na msimu wa 2018-2019

1646351740056.png
 
Kufungwa kwa West Ham maana yake tukishinda game yetu dhidi ya Watford tutapaa mpaka nafasi ya 4 juu ya Man Utd huku Nyumbu wakiwa na kibarua chao kizito dhidi ya Man City wanaoutaka ubingwa.
 
Kwa nini Arsenal ipo nafasi ya 6 na SiO ya 5. naomba Maelezo kwa aliyeelewa swali langu. Usikurupe kuandika
 
Kwa nini Arsenal ipo nafasi ya 6 na SiO ya 5. naomba Maelezo kwa aliyeelewa swali langu. Usikurupe kuandika
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
 
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
Kipolo cha Chelsea wala sio bahati mbaya

Uwe mpole tu, kaka zenu gari limewaka
 
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea
Taja na cha Fools, na bahati mbaya vyote tunavioasha na maharage ya Nazi tunapeta
 
Kipolo cha Chelsea wala sio bahati mbaya

Uwe mpole tu, kaka zenu gari limewaka
Hapo umeongea kwa kujifariji lakini huna mpira wakumfunga Chelsea hata kidogo na wewe unalijua Hilo moyoni lakini hapa ukaza fuvu
 
Hapo umeongea kwa kujifariji lakini huna mpira wakumfunga Chelsea hata kidogo na wewe unalijua Hilo moyoni lakini hapa ukaza fuvu
Uliona ule mpira aliopigiwa man city!!!, sasa hivi tumezid ku-updates

Kipingamiz cha arsenal ni arsenal Mwenye. Ukikaa njiani lazima uliwe kichwa
 
Kwa sababu ana vipolo viwili tofauti na wenzenu kama mtatumia vipolo vyenu vizuri mtashika nafasi 4 bahati mbaya moja Kati ya kipolo chenu mna Chelsea

Hilo SiO jibu, pengine hujanielewa, nijuavyo wote Arsenal na Westham wana point sawa na magoli ya kufungwa, so iliyepaswa kuwa juu ya mwenzake ni mwenye jina herufi yake imetangulia ya mwenzake
 
Uliona ule mpira aliopigiwa man city!!!, sasa hivi tumezid ku-updates

Kipingamiz cha arsenal ni arsenal Mwenye. Ukikaa njiani lazima uliwe kichwa
Hata kama lakini Arsenal bado sana bado mnasafari ndefu yakuwa washindani ukilinganisha nawezako waliopo juu ukiondoa nyumbu wa old Trafford.
 
Hilo SiO jibu, pengine hujanielewa, nijuavyo wote Arsenal na Westham wana point sawa na magoli ya kufungwa, so iliyepaswa kuwa juu ya mwenzake ni mwenye jina herufi yake imetangulia ya mwenzake
Team zote zikiwa zina point sawa

1. Wanaangalia goals difference magoal ya kufungwa na kushinda

2.Kigezo kinachofuata baada ya point ya Kwanza wanaangalia team iliyofunga magoal mengi zaidi ya mwengine

3.team iliyofungwa magoal machache

4.baada ya point zote nilizoainisha hapo juu kufanana ndio wanakuja kwenye kigezo Cha herufi.

NB: kwa namna nilivyoangalia epl table nimeona mmezidiwa kwenye magoal ya kufunga ndio maana Westham imekaa juu yenu.
 
Back
Top Bottom