computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Mkuu hatutakiwi kumchukua sana Emery, still he is a top coach, angalia jinsi Villareal inavyoperform La liga hata UCL ingawa wana scarce resources, bado naamini lugha ilikuwa kikwazo kwake pale Arsenal.Enzi za unai emery hizi , mechi za away ilikuwa hata na timu ndogo lazima tutolewe mkukumkuku... hapo tuliongoza 2-0 ,lakini cha moto tulikipata,hadi mwisho ngoma 2-2
ilikuwa lazima tuzidiwe umiliki wa mpira, tupigiwe shots za kutosha...
weekend hii tunaenda kukuta na watford , je utabiri wako ukoje?
View attachment 2138942
Hujui mpira, mkifungwaga mnajifichaUwezo wa kushinda dhidi ya Chelsea na Liverpool ni mdogo sana labda hizi team ziamke na hangover
Unai aliadhibiwa kwa kushindwa kuonhea Kiajemi. Wakamtengenwzea propaganda zilizomvunja moyo. Na mwishowe akasepeshwaMkuu hatutakiwi kumchukua sana Emery, still he is a top coach, angalia jinsi Villareal inavyoperform La liga hata UCL ingawa wana scarce resources, bado naamini lugha ilikuwa kikwazo kwake pale Arsenal.
Huyo next summer shughuli yake ndio mwisho either aende As Roma au kutokea sub.Nafasi ya Xhaka itafutiwe mtu, hayupo vizuri na anaikosti timu.
New CF atakuja mwenye uwezo wa kuendeleza Combo la O na saka maana anakuja kwa ajir ya nafasi ya Lacca, na lacca yupo njema sana kwenye kucheza na vijana wake???Combinational play ya Ø , Saka, Lacca ni hatari, pale kwa Xhaka tupate profile kama ya Aouar ili kumuunganisha na Partey so tunakuwa na watu watano wakubuild attacks kwenye final third, hapa akija na new CF basi unaangalia mpira na kinywaji ukijua mechi yoyote unashinda. UEFA tutawaua aisee.
Mikel Arteta didnt lose a dressing room na hii ndio pona yake, structure yake ilikuwa inaonekana toka mwanzo so watu wa mpira kama Edu gaspar nadhani walimkingia kifua sababu wanaelewa anachofanya, kile kipindi cha November last year kilikuwa kigumu sana kwake. Lakini pia yale makombe mawili aliyoshinda akiwa na ile Arsenal mbovu yaliipa bodi imani.Unai aliadhibiwa kwa kushindwa kuonhea Kiajemi. Wakamtengenwzea propaganda zilizomvunja moyo. Na mwishowe akasepeshwa
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Kweli Maisha bila unafki hayaendi, Kuna watu humu tunawachora tu wapo kama mnyoo, wanaelekea pande zote
wanatamani Arsenal imalize top four ila wakikumbuka maneno Yao kuhusu kocha wanaona ohhh tutaweka wapi sura zetu
Sasa wanaishia kujiekitisha humu kama Wana furaha kama fans wengine huku ndani ya mioyo yao wanaombea Arsenal asimalize top four ili waje na misemo ya NILISEMAAAAA, braaa braaa kibaoo
Nadhani hili jiwe amepigwa computerarsenal ngoja tuone kama litampata au atalikwepa.Kweli Maisha bila unafki hayaendi, Kuna watu humu tunawachora tu wapo kama mnyoo, wanaelekea pande zote
wanatamani Arsenal imalize top four ila wakikumbuka maneno Yao kuhusu kocha wanaona ohhh tutaweka wapi sura zetu
Sasa wanaishia kujiekitisha humu kama Wana furaha kama fans wengine huku ndani ya mioyo yao wanaombea Arsenal asimalize top four ili waje na misemo ya NILISEMAAAAA, braaa braaa kibaoo
Mkuu naomba usiniuzie case, me sijataja mtuNadhani hili jiwe amepigwa computerarsenal ngoja tuone kama litampata au atalikwepa.
Hehehehe bro umenitag alone but let me answer you in my opinion tusubiri May 2022 EPL haina adabu na bado tuna viporo na Liverpool Chelsea na Spurs usijisahau na huyo mwenzako aliyesema kanilenga Mimi Spurs alikuwa na viporo na vikachacha Arsenal fans huwa tuna tabia ya kujisahau na sio mbaya kuona muelekeo wa Arsenal ni mzuri but let me remind you Season 2019 Arsenal alihitaji only 3 points kuqualify champions league katika 4 games na akazikosa na this season tupo pale pale tunapopahitaji so let's wait and see bro relax enjoy the gamesNadhani hili jiwe amepigwa computerarsenal ngoja tuone kama litampata au atalikwepa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu naomba usiniuzie case, me sijataja mtu