Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,047
- 3,322
for real...so far mpka ss hivi arteta kafanya kaz kubwa sana kwenye hii team...Hili halitegemeni na kuwa ligi imeisha au haijaisha. Kama mtu anashindwa kuona hilo basi sijui nimtafsiri vipi. Labda chuki tu
kwa sasa Arsenal haina michuano yoyote inayoshiriki no champions league no europa league wala domestic competitions hvyo top 4 is a must kwa Big club kama Arsenal kwa sasa hayo mambo ya kucheza vizuri hakuna fans wala mpinzani asiyejua kama Arsenal ina sexy football bro TULIA
kwa sasa ndoto nzuri naiona Mungu tusaidie